BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Chadema wana roho za kichawiUchaguzi gani huu unafanyika usiku wa manane?
Tayari hapo atayeshindwa atapata sababu zake za kutilia shaka matokeo.
Wacha tupate matokeo asubuhi tuungishe na Supu ya kusherehekea. Tunachinja mbuzi hapa.Mkuu bando linaisha na nimeshakopa
CHADEMA kimethibitisha ukubwa wake.. Nchi imesimama inasubiri matokeo
Wakulaumu wanalaumu
Wakubeza wanabeza
Wahuni
Washambenga
Maadui wote wamejazana hapa hawajalala kabisa😂😂😂View attachment 3209437
CDM ni chama kikuu cha upinzani na kinafanya uchaguzi utakaoenda kuamua hatima ya nchi ya Tanganyika ni lazima kifanye kila jambo katika ukamilifu wake
hapana, kwenye suala hili chadema imeonesha udhaifu mkubwa sana kupindukia. chadema imefanya yale yale wanayowalalamikia ccm, sijui tatizo ni nini.Matokeo yatatangazwa kukipambazuka baada ya kuhakiki kila kitu kimeenda sawa.. Wenye haraka ya kutaka kujua mshindi rudini mkalale tu kwanza
Naye niwale wale tu dalili zinaonesha.hapana, kwenye suala hili chadema imeonesha udhaifu mkubwa sana kupindukia. chadema imefanya yale yale wanayowalalamikia ccm, sijui tatizo ni nini.
john mnyika bado ni kijana mwenye nguvu lakini kwenye uchaguzi huu amethibitisha kwamba hatoshi, ameshindwa.hapakuwa na maandalizi mazuri kwenye suala hili
Weka namba nikujazid minyama mkuu leo hakuna kulala. Bundle sio tatizo tatizo charge hakikisha ngoma iko fullMkuu bando linaisha na nimeshakopa
Huwezi kamwe kulinganisha yaliyoganyika Dodoma na yanayofanyika Dar kwa CHADEMAhapana, kwenye suala hili chadema imeonesha udhaifu mkubwa sana kupindukia. chadema imefanya yale yale wanayowalalamikia ccm, sijui tatizo ni nini.
john mnyika bado ni kijana mwenye nguvu lakini kwenye uchaguzi huu amethibitisha kwamba hatoshi, ameshindwa.hapakuwa na maandalizi mazuri kwenye suala hili
yanayofanyika kwenye uchaguzi huu yana tofaufi gani na yale ambayo huwa yanafanyika kwenye chaguzi zile zinazosimamiwa na jecha?Huwezi kamwe kulinganisha yaliyoganyika Dodoma na yanayofanyika Dar kwa CHADEMA
Nimejaza charger za Powerbank.....sitaki masihara mieWeka namba nikujazid minyama mkuu leo hakuna kulala. Bundle sio tatizo tatizo charge hakikisha ngoma iko full
Tumeamua kwenda Slow slow ili kuhakikisha ufanisi wa zoezi.yanayofanyika kwenye uchaguzi huu yana tofaufi gani na yale ambayo huwa yanafanyika kwenye chaguzi zile zinazosimamiwa na jecha?
Nchi imesimama, dunia imesimamaLeo ni usiku Kama mchana
No retreat no surrenderNiko Live Nimewasha VPN.
Hapalaliki hapa bila matokeo
hakuna lolote, mmeshindwa kabisa kuonyesha mfano mzuri ambao ccm wangeweza kuiga kutoka kwenu. mmeshindwa kabisa. shame on you!Tumeamua kwenda Slow slow ili kuhakikisha ufanisi wa zoezi.
Hakuna kulipua lipua hapa.
Kaka mkubwa matokeo bado tu?Weka namba nikujazid minyama mkuu leo hakuna kulala. Bundle sio tatizo tatizo charge hakikisha ngoma iko full
Matokeo kesho Inshallah yatatangazwa nuruni.. Kwasasa tuendelee kuwachezesha sindimbaKaka mkubwa matokeo bado tu?
Mkuu kupamba na dola yenye kila aina ya instrument sio jambo rahisihakuna lolote, mmeshindwa kabisa kuonyesha mfano mzuri ambao ccm wangeweza kuiga kutoka kwenu. mmeshindwa kabisa. shame on you!
yanayofanyika kwenye uchaguzi huu yana tofaufi gani na yale ambayo huwa yanafanyika kwenye chaguzi zile zinazosimamiwa na jecha?Kuweza kuwaweka salama na kwa utulivu na amani watu kutoka kanda zote Tanganyika tangu jana mpaka muda huu sio jambo la mchezo wala la kubeza
Hata kama kuna madhaifu ambayo ni lazima yawepo kwakuwa sisi hatuna ukamilifu wa Kimungu lakini bado CHADEMA imeonesha kuwa imejiandaa kwa usahihi sana.. Kule Dom hili lisingewezekana kabisa
Hapa tunafanya uchaguzi wenye ushindani mkali sio rubber stamp ya kumpa mtu kitiView attachment 3209450
Wandewa walipokosa cha kukosoa kwenye ua zuri la rose (rose flower) walisema lakini lina mibayanayofanyika kwenye uchaguzi huu yana tofaufi gani na yale ambayo huwa yanafanyika kwenye chaguzi zile zinazosimamiwa na jecha?
like jecha like john mnyika!
, mmeshindwa kabisa kuonyesha mfano mzuri ambao ccm wangeweza kuiga kutoka kwenu. mmeshindwa kabisa. shame on you!