Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
CHADEMA kimethibitisha ukubwa wake.. Nchi imesimama inasubiri matokeo
Wakulaumu wanalaumu
Wakubeza wanabeza
Wahuni
Washambenga
Maadui wote wamejazana hapa hawajalala kabisa😂😂😂View attachment 3209437
CDM ni chama kikuu cha upinzani na kinafanya uchaguzi utakaoenda kuamua hatima ya nchi ya Tanganyika ni lazima kifanye kila jambo katika ukamilifu wake
Matokeo yatatangazwa kukipambazuka baada ya kuhakiki kila kitu kimeenda sawa.. Wenye haraka ya kutaka kujua mshindi rudini mkalale tu kwanza
hapana, kwenye suala hili chadema imeonesha udhaifu mkubwa sana kupindukia. chadema imefanya yale yale wanayowalalamikia ccm, sijui tatizo ni nini.
john mnyika bado ni kijana mwenye nguvu lakini kwenye uchaguzi huu amethibitisha kwamba hatoshi, ameshindwa.hapakuwa na maandalizi mazuri kwenye suala hili
 
Naye niwale wale tu dalili zinaonesha.
 
hapana, kwenye suala hili chadema imeonesha udhaifu mkubwa sana kupindukia. chadema imefanya yale yale wanayowalalamikia ccm, sijui tatizo ni nini.
john mnyika bado ni kijana mwenye nguvu lakini kwenye uchaguzi huu amethibitisha kwamba hatoshi, ameshindwa.hapakuwa na maandalizi mazuri kwenye suala hili
Huwezi kamwe kulinganisha yaliyoganyika Dodoma na yanayofanyika Dar kwa CHADEMA
 
yanayofanyika kwenye uchaguzi huu yana tofaufi gani na yale ambayo huwa yanafanyika kwenye chaguzi zile zinazosimamiwa na jecha?
like jecha like john mnyika!
 
Kuweza kuwaweka salama na kwa utulivu na amani watu kutoka kanda zote Tanganyika tangu jana mpaka muda huu sio jambo la mchezo wala la kubeza
Hata kama kuna madhaifu ambayo ni lazima yawepo kwakuwa sisi hatuna ukamilifu wa Kimungu lakini bado CHADEMA imeonesha kuwa imejiandaa kwa usahihi sana.. Kule Dom hili lisingewezekana kabisa
Hapa tunafanya uchaguzi wenye ushindani mkali sio rubber stamp ya kumpa mtu kiti
965789ba-ce53-4f8c-9f34-9504a5b97fbf.jpeg
 
yanayofanyika kwenye uchaguzi huu yana tofaufi gani na yale ambayo huwa yanafanyika kwenye chaguzi zile zinazosimamiwa na jecha?
Tumeamua kwenda Slow slow ili kuhakikisha ufanisi wa zoezi.

Hakuna kulipua lipua hapa.
 
hakuna lolote, mmeshindwa kabisa kuonyesha mfano mzuri ambao ccm wangeweza kuiga kutoka kwenu. mmeshindwa kabisa. shame on you!
Mkuu kupamba na dola yenye kila aina ya instrument sio jambo rahisi
 
Kuweza kuwaweka salama na kwa utulivu na amani watu kutoka kanda zote Tanganyika tangu jana mpaka muda huu sio jambo la mchezo wala la kubeza
Hata kama kuna madhaifu ambayo ni lazima yawepo kwakuwa sisi hatuna ukamilifu wa Kimungu lakini bado CHADEMA imeonesha kuwa imejiandaa kwa usahihi sana.. Kule Dom hili lisingewezekana kabisa
Hapa tunafanya uchaguzi wenye ushindani mkali sio rubber stamp ya kumpa mtu kitiView attachment 3209450
yanayofanyika kwenye uchaguzi huu yana tofaufi gani na yale ambayo huwa yanafanyika kwenye chaguzi zile zinazosimamiwa na jecha?
like jecha like john mnyika!
, mmeshindwa kabisa kuonyesha mfano mzuri ambao ccm wangeweza kuiga kutoka kwenu. mmeshindwa kabisa. shame on you!
 
Wandewa walipokosa cha kukosoa kwenye ua zuri la rose (rose flower) walisema lakini lina miba
 
Back
Top Bottom