Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Crown πWapo live channel gani?
duh hadi naanza kuumwa mimi,Mmmhhh nini hiki mbona BonYai ana kamlima Lema zake anazisambaza auπ€£π€£
ππππUkishaona Tu MTU anasema eti hana chama au sina Kadi ya chama Ujue Hilo ni li CCM
Wanafiki wazandiki hao, achana nao. CHADEMA imeipa somo CCMImegeuka?Sio kuibiwa tena?au ccm kuingia?
π€£π€£π€£Imegeuka?Sio kuibiwa tena?au ccm kuingia?
Camera imetegeshwa halafu cameraman kasinziaMimi nachoona hapa ni Lema anakwapua kwa kasi sana halafu anatupia mezani hazipangi kama Bon π€£π€£ sasa kwa angle ya kamera ni ngumu kuona kama anazisambaza au anatupia chini miguuni π€£π€£
Kura zinahesabiwa live hapo wote mnaona,hazihesabiwi sirini chumbaniHaya mambo ya Kura za usiku Siyo ya kuamini Sana hasa kwa Siasa zetu za bongo na wizi wa Kura , Lisu inawezekana akawa mshindi lakini kuna nguvu kubwa ya Dola ya CCM na Fedha za Mbowe imetumika kuiba kura
Jikaze bado kura zinahesabiwa. Ila jiandae kwa lolote.duh hadi naanza kuumwa mimi,
Ila nahisi tunaenda kuchinja ng'ombe Machame leo.Camera imetegeshwa halafu cameraman kasinzia
Hakuna kuhama chamaRushwa imeharibu uchaguzi, Mbowe kanunua wajumbe
Bangi ni CCM mkuu bado upo huko?!Huna akili ww, kwahy dunia mzima hawajalala? Em acha bangi hizo
Mbona kila kitu kimekuwa hadharani? Uzuri taa hazijazimika kama ile mchana ππHaya mambo ya Kura za usiku Siyo ya kuamini Sana hasa kwa Siasa zetu za bongo na wizi wa Kura , Lisu inawezekana akawa mshindi lakini kuna nguvu kubwa ya Dola ya CCM na Fedha za Mbowe imetumika kuiba kura
Ameamua kukaa kimya
Haijalishi maisha yao mtaani yakoje,wanachaamua ndio hicho.Hao wajumbe wanatokea Ulaya?
Maana watu wanaonizunguka kuanzia maisha halisi ya mtaani, kazini na mitandao ninayotumia Lissu anakubalika zaidi kuliko Mbowe.
Hawa wajumbe waliomchagua Mbowe wametokea wapi?