Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Haya mambo ya Kura za usiku Siyo ya kuamini Sana hasa kwa Siasa zetu za bongo na wizi wa Kura , Lisu inawezekana akawa mshindi lakini kuna nguvu kubwa ya Dola ya CCM na Fedha za Mbowe imetumika kuiba kura
 
Kura zinahesabiwa live hapo wote mnaona,hazihesabiwi sirini chumbani
Fedha zimeingiaje hapo?
 
Hizo karatasi za kupigia Kura ilitakiwa kuzihakiki kabla. Siku hizi kuna technology ukiweka tick kwa mgombea huyu baada ya dakika kadhaa inahamia kwa mgombea wa pili hili linaweza kuwa limetokea
 
Hao wajumbe wanatokea Ulaya?
Maana watu wanaonizunguka kuanzia maisha halisi ya mtaani, kazini na mitandao ninayotumia Lissu anakubalika zaidi kuliko Mbowe.
Hawa wajumbe waliomchagua Mbowe wametokea wapi?
Haijalishi maisha yao mtaani yakoje,wanachaamua ndio hicho.
Lakini tuwe na subira hadi kura zihesabiwe zote ndio tuje kuweka maoni yetu.
 
Back
Top Bottom