Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Rushwa imeharibu uchaguzi, Mbowe kanunua wajumbe
Lema kibunda kimetuna!Ila nahisi tunaenda kuchinja ng'ombe Machame leo.
Ccm imeingilia kwa kutoa mipesa ya kodi zetu hazina kumsaidia mbowe agawe rushwa kwa wajumbeImegeuka tena?Sio kuibiwa tena?au ccm na system kuingilia?
Kwanini urudiwe?Lema kibunda kimetuna!
Lakini uchaguzi unaweza kurudiwa
Shida mnaongozwa na mihemko kuliko uhalisia hao wajumbe ndio wanajua vizuri mbowe na Lissu, mbowe ana muda mrefu sana ameshatengeneza network ndani ya chama hawezi kuangushwa kiboya na ndio maana akaona atashinda ndio maana anaingia kwenye uchaguzi hakukurupuka, Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi ndicho kimemuangusha kushinda uchaguzi unahitaji maandalizi mapema kwasababu unashindana na mzoefu wa chama.Tusisingizie chochote Lissu kashindwa kwa hakiHao wajumbe wanatokea Ulaya?
Maana watu wanaonizunguka kuanzia maisha halisi ya mtaani, kazini na mitandao ninayotumia Lissu anakubalika zaidi kuliko Mbowe.
Hawa wajumbe waliomchagua Mbowe wametokea wapi?
😂😂😂 Hatari sana watu wana Zoom vibunda vya pesa ila Lisuu kashinda lema nyingine kaziweka mfukoniiMimi nachoona hapa ni Lema anakwapua kwa kasi sana halafu anatupia mezani hazipangi kama Bon 🤣🤣 sasa kwa angle ya kamera ni ngumu kuona kama anazisambaza au anatupia chini miguuni 🤣🤣
Wewe kada mtiifu toka enzi na enzi leo kama umetenguliwa sema usijifiche kwenye kichaka cha kuchokoza na kutingisha 😅😅
Akili mdogo utaelewaje?Kura zinahesabiwa live hapo wote mnaona,hazihesabiwi sirini chumbani
Fedha zimeingiaje hapo?
Hayo yote usemayo ni matokeo ya RUSHWAImegeuka tena?Sio kuibiwa tena?au ccm na system kuingilia?
SikushangaiCcm imeingilia kwa kutoa mipesa ya kodi zetu hazina kumsaidia mbowe agawe rushwa kwa wajumbe
Mimi sina team hapa. Yeyote fresh tu.Sasa unaona kulia maumivu hauwezi, unaamua kutolea kipi go kwangu na kunisukumia uongo
🤣🤣🤣🤣
Jaribu Lingine.. Poleeeeee
Sioni atakayefikisha kura 510Kwanini urudiwe?
Afrika kushindana na mtu ana pesa ni kazi ngumu sana.Shida mnaongozwa na mihemko kuliko uhalisia hao wajumbe ndio wanajua vizuri mbowe na Lissu, mbowe ana muda mrefu sana ameshatengeneza network ndani ya chama hawezi kuangushwa kiboya na ndio maana akaona atashinda ndio maana anaingia kwenye uchaguzi hakukurupuka, Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi ndicho kimemuangusha kushinda uchaguzi unahitaji maandalizi mapema kwasababu unashindana na mzoefu wa chama.Tusisingizie chochote Lissu kashindwa kwa haki
Dah siasa bana kwahiyo Leo hii TL sio Mtz
Hadi sasa kura bado zinahesabiwqKura zinahesabiwa live hapo wote mnaona,hazihesabiwi sirini chumbani
Fedha zimeingiaje hapo?
Kijana mdogo wewe Huwezi kuelewa kwa sasaKura zinahesabiwa live hapo wote mnaona,hazihesabiwi sirini chumbani
Fedha zimeingiaje hapo?
WaambieShida mnaongozwa na mihemko kuliko uhalisia hao wajumbe ndio wanajua vizuri mbowe na Lissu, mbowe ana muda mrefu sana ameshatengeneza network ndani ya chama hawezi kuangushwa kiboya na ndio maana akaona atashinda ndio maana anaingia kwenye uchaguzi hakukurupuka, Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi ndicho kimemuangusha kushinda uchaguzi unahitaji maandalizi mapema kwasababu unashindana na mzoefu wa chama.Tusisingizie chochote Lissu kashindwa kwa haki
Naona unatumia mwandiko nundu.Mpaka SASA macho Ya Wakala wa MBOWE anaongoza kwa Asilimia 89 Lissu anaongoza kwa Asilimia 3 Od Asilimia 8
Tumesubiri Sana matokeo bora tutumie Machooooo
Wosia wetu kwa vijana msifuatilie Siasa Fuatilia Hali Ya Hewaaaa. HewaaaaView attachment 3209574
Mpaka SASA macho Ya Wakala wa MBOWE anaongoza kwa Asilimia 89 Lissu anaongoza kwa Asilimia 3 Od Asilimia
Tumesubiri Sana matokeo bora tutumie Machooooo
Wosia wetu kwa vijana msifuatilie Siasa Fuatilia Hali Ya Hewaaaa. HewaaaaView attachment 3209575