Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Rushwa imeharibu uchaguzi, Mbowe kanunua wajumbe

View: https://x.com/Ntobi_/status/1881848577657655649
1737516694313.png
 
Teyari hapa mchezo umeisha.

Naona wanakatazwa wasipost mtandaonu.

Maana Lema na Boni wore wazeee wa Tweets.
 
Hao wajumbe wanatokea Ulaya?
Maana watu wanaonizunguka kuanzia maisha halisi ya mtaani, kazini na mitandao ninayotumia Lissu anakubalika zaidi kuliko Mbowe.
Hawa wajumbe waliomchagua Mbowe wametokea wapi?
Shida mnaongozwa na mihemko kuliko uhalisia hao wajumbe ndio wanajua vizuri mbowe na Lissu, mbowe ana muda mrefu sana ameshatengeneza network ndani ya chama hawezi kuangushwa kiboya na ndio maana akaona atashinda ndio maana anaingia kwenye uchaguzi hakukurupuka, Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi ndicho kimemuangusha kushinda uchaguzi unahitaji maandalizi mapema kwasababu unashindana na mzoefu wa chama.Tusisingizie chochote Lissu kashindwa kwa haki
 
Kura zinahesabiwa live hapo wote mnaona,hazihesabiwi sirini chumbani
Fedha zimeingiaje hapo?
Akili mdogo utaelewaje?
Fedha za ccm zimetumika kuhonga,kununua wajumbe wampigie kura mbowe
 
Wapiga kura wa Lissu mitandaoni ni wengi na kimsingi Lissu anaongoza, ila wapiga kura HALISI wa uchaguzi wa CHADEMA wameshapiga kura na sasa tunasubiria mbivu na mbichi.
 
Sasa unaona kulia maumivu hauwezi, unaamua kutolea kipi go kwangu na kunisukumia uongo

🤣🤣🤣🤣

Jaribu Lingine.. Poleeeeee
Mimi sina team hapa. Yeyote fresh tu.

Mimi kikubwa Chadema na sio Mbowe au Lissu. Wengine tunaamini kwenye taasisi na sio mtu maana mtu anaweza hata kufa muda wowote lakini taasisi ikiwa imara itadumu milele.
 
Shida mnaongozwa na mihemko kuliko uhalisia hao wajumbe ndio wanajua vizuri mbowe na Lissu, mbowe ana muda mrefu sana ameshatengeneza network ndani ya chama hawezi kuangushwa kiboya na ndio maana akaona atashinda ndio maana anaingia kwenye uchaguzi hakukurupuka, Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi ndicho kimemuangusha kushinda uchaguzi unahitaji maandalizi mapema kwasababu unashindana na mzoefu wa chama.Tusisingizie chochote Lissu kashindwa kwa haki
Afrika kushindana na mtu ana pesa ni kazi ngumu sana.
 
Shida mnaongozwa na mihemko kuliko uhalisia hao wajumbe ndio wanajua vizuri mbowe na Lissu, mbowe ana muda mrefu sana ameshatengeneza network ndani ya chama hawezi kuangushwa kiboya na ndio maana akaona atashinda ndio maana anaingia kwenye uchaguzi hakukurupuka, Lissu kapumbazwa na kelele za nje zaidi ndicho kimemuangusha kushinda uchaguzi unahitaji maandalizi mapema kwasababu unashindana na mzoefu wa chama.Tusisingizie chochote Lissu kashindwa kwa haki
Waambie
 
Mpaka SASA macho Ya Wakala wa MBOWE anaongoza kwa Asilimia 89 Lissu anaongoza kwa Asilimia 3 Od Asilimia 8

Tumesubiri Sana matokeo bora tutumie Machooooo

Wosia wetu kwa vijana msifuatilie Siasa Fuatilia Hali Ya Hewaaaa. HewaaaaView attachment 3209574
Mpaka SASA macho Ya Wakala wa MBOWE anaongoza kwa Asilimia 89 Lissu anaongoza kwa Asilimia 3 Od Asilimia

Tumesubiri Sana matokeo bora tutumie Machooooo

Wosia wetu kwa vijana msifuatilie Siasa Fuatilia Hali Ya Hewaaaa. HewaaaaView attachment 3209575
Naona unatumia mwandiko nundu.
 
Back
Top Bottom