Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Haya mambo ya Kura za usiku Siyo ya kuamini Sana hasa kwa Siasa zetu za bongo na wizi wa Kura , Lisu inawezekana akawa mshindi lakini kuna nguvu kubwa ya Dola ya CCM na Fedha za Mbowe imetumika kuiba kura
Bora hata ingekuwa unavosema, yaani Akina Lema wameona wanashindwa mbele za watu
 
Nani anaweza kuamini mtu aliye ongoza miaka 21 anasema bado ana ndoto,utofauti na dikteta kagame upo wapi? Mbowe ni mtu wa mfumo hata lisu akishindwa ila tushajua rangi halisi
 
Akili mdogo utaelewaje?
Fedha za ccm zimetumika kuhonga,kununua wajumbe wampigie kura mbowe
Unajua siasa za Chadema? Una ushahidi na unachoongea au Ni mihemko na mapenzi ulionao kwa Lissu?
 
Kelele za mtaani ndo hao wanachama ambao wanategemewa kwenye uchaguzi wa mwezi wa kumi. Huwezi kuwapuuza..binafsi ni mwanachama halali wa CHADEMA,siyo mjumbe wa huo uchaguzi,nlitamani lissu ashinde..asipo shinda automatically sito endelea na hicho chama..bora kura yangu niwape CCM
 
Tutaenda tu Man U inafungwa na bado tunaendelea kuiangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…