Usiwe na presha bana we pika chai hapo kunywa taratibungoja niwahi selian hosp. wakaniwekee diripu ili matokea yakitoka yanikute nipo kwenye diripu mimi
Labda kama wamepita huko kwa nadharia... vitendo nehiiiWao wanadai eti walishavuka huko kitambo, lakini sasa utendaji wao na jinsi wanavyoendesha mambo vinazidi kuwasaliti na kuwaumbua.
Kura zinahesabiwaSijajua kwanini mpaka dk hii bado hatujatangaziwa matokeo, au Kuna bargaining inafanyika huko ndani halafu baadae tuje tupewe matokeo ya kushangaza?
Naona uchaguzi wa kidemokrasia umekutoa pangoni.Labda kama wamepita huko kwa nadharia... vitendo nehiii
Watoto wadogo sana hao kwejye game
Bado wananyonya😁😁😁
Sijaona hata mabarozi achilia mbali mabalozi🤣🤣🤣
Bora hao wa kijani/njano hawategemewi kwamba watataka kulambwa miguu..
Nawe nae
Sasa hapo na hao wooote bado mpo enzi za kale
DUH mambo yashabadilika tayari nin? ili hosp. nisiendeLema alikuwa anasambaza kura zake mezani. Boniyai akawa anaweka kamlima watu wakawa wanaona kura za Bon ni nyingi😅
HawaweziCCM wameshafanya yao..
uko nchi gani mkuu,fungua crown tv,kila kitu kiko live,saa hizi asubuhi wanahesabu za lisu,za mbowe bado,kama alihonga wapiga kura sawa,ila hapa kila kitu kinaenda vizuri na ni mfano mzuri kuigwa na vyama vyote.Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.
Team mwanaharakati mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio sio mrefu msiompenda atakuja.
Nasikia Tundu Lissu amemzid Mbowe,Mbuyu umeanguka
dah iwe hvo aiseeBye bye Mbowe see you again wajumbe hawafahi