Kwenye 30Unakadiria ni fungu ngapi?
Watoto wa mjini hatujawahi kushindwa jambo. Litapigwa bao ambalo nyinyi wakulima hamtojua limepigwaje na mfungaji ni nani.uko nchi gani mkuu,fungua crown tv,kila kitu kiko live,saa hizi asubuhi wanahesabu za lisu,za mbowe bado,kama alihonga wapiga kura sawa,ila hapa kila kitu kinaenda vizuri na ni mfano mzuri kuigwa na vyama vyote.
Ounguza mihemkoHabari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.
Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
Punguza mihemko acha kukulupukaHabari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.
Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
Bado hamjasemaHabari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.
Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
Wapiga kura ni wangapi?Woyooooo Lisu mpaka sasa anakura 51 ×10= 510.
Lissu kapita kwa KISHINDO
Na iwe hivyo! Mimi nataka Lissu ashindeNa pembei kunakaratadi kadhaa ambazo hazikufika 10.alivo maliza kuhesabu Boni hadi kashika kiuno hajaaminj
Hawa jamaa wanazingua bora mfumo wa kieletroniki ungetumikaDu ,haya ni maajabu kura 1000 zinahessbuwa masaa 6!
Hebu track za BoniyaiKwenye 30
Hizi taarifa umezitoa wapi?Woyooooo Lisu mpaka sasa anakura 51 ×10= 510.
Lissu kapita kwa KISHINDO
Zimefika kahesabu bando la karatasi 51 ndugu
Hivi umekurupuka tu kwenye kitanda chako cha 3.5ft na kuleta mawazo yako hapa jukwaani as hatufuatilii uchaguzi live?!Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.
Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
na mbona mambo yako live bila chenga ndugu mpotoshaji? 🐒Habari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.
Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
Link tafadhaliuko nchi gani mkuu,fungua crown tv,kila kitu kiko live,saa hizi asubuhi wanahesabu za lisu,za mbowe bado,kama alihonga wapiga kura sawa,ila hapa kila kitu kinaenda vizuri na ni mfano mzuri kuigwa na vyama vyote.