Igurumuki Masanja
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 993
- 2,021
Crown tv wapo mubashara tangu wajiunge jana wapo vzurVp huko wadau youtube mb zimebakia kidogo
Mvua inanyesha mpaka huku Kwetu RuvumaHii mvua kubwa leo Dar es Salaam ni ishara ya ujio mpya na Moshi mweupe hivyo ni Ishara ya LISSU. Lakini kiuhalisia nafatilia live hapa kura za Mbowe ni nyingi zaidi
Kama trust haipo bora kutumia mikono ya binadamu!Hawa jamaa wanazingua bora mfumo wa kieletroniki ungetumika
Hivi wameanza kupiga kura saa ngapi?,pia kuhesabu wameanza saa ngapMbowe kapata kura 400+
LISSU KASHINDAKama ameshinda ni jambo jema ila bado
Unauonaje huo mwili? Halafu haujalala masaa zaidi ya 24, mabonge kwa usingizi hamjambo.🤣Boniyai yupo slow kuhesabu
Mbowe haamini anachokiona kwenye sanduku la Kura , ndio maana unaona shughuli inachukua muda mrefuDu ,haya ni maajabu kura 1000 zinahessbuwa masaa 6!
Kila mtu anajidai ana taarifa nyeti. Uchaguzi umefanyika peupe kabisa, hatuhitaji taarifa zenu, kila kitu kinaonekana machoni kwa wajumbeHabari zenu wanaJF wenzangu
Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.
Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
Watoto wa mjini hatujawahi kushindwa jambo. Litapigwa bao ambalo nyinyi wakulima hamtojua limepigwaje na mfungaji ni nani.na mbona mambo yako live bila chenga ndugu mpotoshaji? 🐒
Mkuu mambo yako live.Hizi taarifa umezitoa wapi?
usifanye mchezo na chalii ya arachuga manKwa wale mlioko Jambo tv nadhani tumehesabu kwa pamoja aisee Lema alikuwa mjanja sana. Kama kweli hao wajumbe wako 997 basi mpaka sasa Lissu mshindi tena kwa kishindo
Tulia 🫵🌈Sasa lisu atagombeaje urais wakati chama chake wenyewe wamemkataa?
Basi muacheni inatosha🤣Hujitambui pia hutambui kinacho endelea bali umelala fofofo unaota!