Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Hii mvua kubwa leo Dar es Salaam ni ishara ya ujio mpya na Moshi mweupe hivyo ni Ishara ya LISSU. Lakini kiuhalisia nafatilia live hapa kura za Mbowe ni nyingi zaidi
Mvua inanyesha mpaka huku Kwetu Ruvuma
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Wakuu kwa nilichodokezwa na mtu wa ndani ya mfumo wa chama, ni kwamba mpaka sasa Mwamba tayar miguu juu ameangukia pua. Hivyo ili yeye aweze kutangazwa mshindi ana vijana wake ambao wanajipanga kupiga bao la mkono na baada ya hapo ndo matokeo yatoke kwamba mwamba ndio mshindi wa uchaguzi huo.

Team mageuzi mjiandae mapema kisaikolojia. Muda sio mrefu msiompenda atakuja.
Kila mtu anajidai ana taarifa nyeti. Uchaguzi umefanyika peupe kabisa, hatuhitaji taarifa zenu, kila kitu kinaonekana machoni kwa wajumbe
 

Attachments

  • Screenshot_20250122_073353_com_android_chrome_ChromeTabbedActivity.jpg
    Screenshot_20250122_073353_com_android_chrome_ChromeTabbedActivity.jpg
    370.7 KB · Views: 1
Nilihesabu za Lema Jambo Tv ikiwa Live, fungu zimekua 51, sasa sijui fungu moja lina kura ngapi
 
Back
Top Bottom