Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
LissuNani kashinda?
HIyo sio ramli mkuu, tumefuatilia mwanzo mwisho. Za ndani ni kuwa ushindi unaenda Singapore
Nakubaliana na hili. Kuna chemistry Mnyika alikuwa anaikosaNapendekeza Lissu akishinda amteue mnyika aendelee na ukatibu Mkuu..amejitahidi sana kusimamia huu mchakato vizuri kwa kufuata utaratibu na haki.
Kwakweli tumepambana ndugu yangu, hongera sana kwa ushindi.Hutanishinda mimi.
Acha tubadili kanzu sheikh.Dah kwahiyo chama kinaenda ubeligiji
Ila umenichekesha aiseeDah kwahiyo chama kinaenda ubeligiji
Nilipo inapiga na umeme umekatika, Kuna kitu juu ya huu uchaguziMvua kubwa yataka kunyesha dar Mungu yuko pamoja nasi hongera sana lissu na wamekata umeme now
Ni kizazi cha kuanzia 2000 hicho. Hakina subira wala ujasiri wa kusemeshana kwa heshima. Na hawa eti ndiyo anakuja ofisini ili kuomba kazi. Kuna swali huwa nawapa akilijibu ndivyo sivyo namtimua. Kizazi cha hovyo kabisa 🚮Nachuki nyie mnao tukana mtusi, kwani hamuwezi kupishana bila kuwa lugha inayotia ukakasi?
Kati ya wewe na Baba wa taifa mwalimu Nyerere tumwamini nani?!!Hamna mahali wanaenda
Hapo ndio wamefika mwisho wa siaa zao