Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Screenshot_20250122-082100.jpg
 
Wala pilau ya uwele wamechukua uongozi wa taasisi ya mashemeji na wake zangu.
 
Nachuki nyie mnao tukana mtusi, kwani hamuwezi kupishana bila kuwa lugha inayotia ukakasi?
Ni kizazi cha kuanzia 2000 hicho. Hakina subira wala ujasiri wa kusemeshana kwa heshima. Na hawa eti ndiyo anakuja ofisini ili kuomba kazi. Kuna swali huwa nawapa akilijibu ndivyo sivyo namtimua. Kizazi cha hovyo kabisa 🚮
 
Back
Top Bottom