Hapo ambacho sikijui kwenye katiba ya nchi ni kipi ?Ulivyo mweupe kichwani hata katiba ya nchi huijui! 🚮🚮🚮
Niambie muumininwa KISAMVU!!!😅😅subiri matokeo ya wajumbe na utafurahi zaidi gentleman 🐒
Za ndani nasikia huko tayari vimeumana==
Mbowe anaitwa yeye ndio Alpha na Omega na hajawahi kukanusha kwamba si kweli kwamba yeye ni Alpha na Omega maana yake alikiri yeye ni Alpha na Omega,
Leo Mungu ndio atamuonesha wazi Mbowe kuwa yupo Alpha na Omega ambae anawivu sana.
LAZIMA MUNGU AONESHE NGUVU ZAKE LEO.
Nini kimetokea?Za ndani nasikia huko tayari vimeumana
Acha kukaza fuvu,umeandika uharo,Raisi na makamu wake hawawezi kutoka wote upande mmoja wa Bara.Hapo ambacho sikijui kwenye katiba ya nchi ni kipi ?
Kuna mmoja alikuwa anabip Urais akapigiwa.Wanasiasa bhana.. Motive zao
Mimi ikifika miaka 68 nita achia chama kama mtangulizi wangu..
Mwingine..
Nilipoona kamwambia flani agombee nafasi yangu nikasema nami nigombee ya aliyo mtuma..
Hawa ndio wanategemewa kama wapinzani..
Mungu akaonekane kama kwenye mkutano huu Mbowe hawezi kuwa ALPHA na OMEGA,==
Mbowe anaitwa yeye ndio Alpha na Omega na hajawahi kukanusha kwamba si kweli kwamba yeye ni Alpha na Omega maana yake alikiri yeye ni Alpha na Omega,
Leo Mungu ndio atamuonesha wazi Mbowe kuwa yupo Alpha na Omega ambae anawivu sana.
LAZIMA MUNGU AONESHE NGUVU ZAKE LEO.
Clouds tvChannel zipi zinaonesha ukiacha UTV
Tena sanaHayo majini yako yanamchukia Lissu balaa.
Jibu swali Lissu naye amedakishwa b12 kama alizodakishwa Mbowe? Maana umesema wote ni wale wale tu.Punguza mdomo Sagai!
UTV hadi matokeo watatangaza live?
Hao Mawingu Quality ipo chini compared to UTVClouds tv
Lissu anafika bei!Jibu swali Lissu naye amedakishwa b12 kama alizodakishwa Mbowe? Maana umesema wote ni wale wale tu.