Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ndani ya ukumbi, wajumbe hawana nidhamu kabisa na ustahimilivu,wanatukana tukana hovyo..... CDM wanapaswa kuongeza nidhamu ili waaminike
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama imekula kwake vile!Huyu FAM mbn anajielezea vzr na kwa kutia huruma kavujishiwa paper nn 😄
Tunasubiri MPAKA asubuhiTakwimu Za Youtube Saa 6 na dk 32Usiku Huu
CHADEMA Media Watu 4000 Wako Live
The Chanzo Watu 2000 Wako Live
Global Tv Online Watu 3000 Wako Live
Milard Ayo Watu 5000 Wako Live
Jambo Tv Watu 10,000 Wako Live
Mwanzo Tv Twitter Watu 30,000 Wako Live
NCHI IMEGOMA KULALA LEO?
Huyu anatufaa mnoMbowe anadai ni kiongozi ambaye anaibua vipaji kwa vijana.
Kwanini Yanga wasimchukue?
Ndiyo maana nikasema kama imekula kwake vileHalafu mwishoni anasema usipime ukali wa sumu kwa kuionja (anamtisha nani)
Tuweke HelaFAM anashinda mapema sana. Nipo pale nimekaa.
Maswali elekezi.. Ndo maana watu wanalalamika maswali mepesiHuyu FAM mbn anajielezea vzr na kwa kutia huruma kavujishiwa paper nn 😄
Elezea anashinda nini?FAM anashinda mapema sana. Nipo pale nimekaa.
Halafu time keeper km ana mzidishia mdaKama imekula kwake vile!
Yaani saa saba hii ndiyo wananadi sera!?..Maswali elekezi.. Ndo maana watu wanalalamika maswali mepesi
Haya mambo yalipaswa kufanyika alasiriHalafu time keeper km ana mzidishia mda
Shi ngapi tuweke?Tuweke Hela
Weekend kbsHaya mambo yalipaswa kufanyika alasiri
Mkuu, wapinzani wao ndio akina nani hao? Maana hakuna aliyejitanabaisha wazi kama timu fulani ama fulani.Wagombea waulizwe maswali magumu kutoka kwa kambi za wapinzani wao ambao hawawaungi mkono ili kupata challenge inayoeleweka