Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kwa huu mwendo kweli Mnyika ametuweza. 🤣Tunaweza kupata hata lunch hapahapa ukumbini.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa huu mwendo kweli Mnyika ametuweza. 🤣Tunaweza kupata hata lunch hapahapa ukumbini.....
Nimefuatilia Crown TV walikuwa wanamuonesha sana TL... Plus washangiliaji wengi walikuwa vijana!Toka ukimbini, za moto kabisa, Lisu kashinda kwa margin ndogo. Karatasi zimesainiwa kuthibitisha matokea.
Details baadaye kidogo.
Mod tafadhali naomba, isomeke Wanamabadiliko.
Usijibu ubaya kwa ubayaTuliza hicho chako kilichotoka faragha
Unamchukia sana Lissu.
Mama D unaniangusha banaa 😁Sema tundu ni kiboka ya kundi la kushindwa🤣🤣🤣
Dola hamshiki hata atembee uchi
Naona ulikuwa unataka KUWAHI NAMBA!Mod tafadhali naomba, isomeke Wanamabadiliko.
Wajumbe wanapiga simu kwa wingi... Bila shaka za moto zitavuja muda si mrefu!Toka ukimbini, za moto kabisa, Lisu kashinda kwa margin ndogo. Karatasi zimesainiwa kuthibitisha matokea.
Details baadaye kidogo.
Mod tafadhali naomba, isomeke Wanamabadiliko.
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😀😀😘😘😘😘😘😘🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹💞💞💞Na iwe hivyo, nitafurahi mno!
Siwezi kujifunza kulinda faragha za mashoga kama tundu kamwe
CCM hii hii inayoingiza kura zilizopigwa kwenye vikapu na mabegi na kutokea msituni ndio iwe mfano wa kuigwaWanahesabu kura elfu moja siku nzima wataweza wapi kuhudumia wananchi milioni 60????
Sasa ndio watajua nani alitangulia mjini🤣🤣🤣
Wakome kuzodoa chama kubwa CCM
Imekuwaje mkuuBora tungepindua meza wakose wote apate odero tu.