Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
Sema tundu ni kiboka ya kundi la kushindwa🤣🤣🤣

Dola hamshiki hata atembee uchi
Mama D unaniangusha banaa 😁
Kama mnataka kujua wapinzani ni wabovu au wazuri kuongoza nchi, ruhusuni wananchi waamue pasi CCM kuingilia baada ya hapo wannchi wataona tuwarudishe CCM au Upinzani uchaguzi ujao baada ya kuona utendaji wao.

Mkiwa mnasema hawafai hawafai kuongoza wakati hata miaka mitano hawajakaa uongozini huoni uongo, toeni nafasi (Demokrasia ya kweli).

🎤 Mama D nini banaa 😅
 
Toka ukimbini, za moto kabisa, Lisu kashinda kwa margin ndogo. Karatasi zimesainiwa kuthibitisha matokea.

Details baadaye kidogo.

Mod tafadhali naomba, isomeke Wanamabadiliko.
Wajumbe wanapiga simu kwa wingi... Bila shaka za moto zitavuja muda si mrefu!
 
Siwezi kujifunza kulinda faragha za mashoga kama tundu kamwe
Screenshot_20250122_065721_Chrome.jpg

Hii ni taarifa juu ya msimamo wa serikali.
 
Wanahesabu kura elfu moja siku nzima wataweza wapi kuhudumia wananchi milioni 60????

Sasa ndio watajua nani alitangulia mjini🤣🤣🤣

Wakome kuzodoa chama kubwa CCM
CCM hii hii inayoingiza kura zilizopigwa kwenye vikapu na mabegi na kutokea msituni ndio iwe mfano wa kuigwa

?
 
Back
Top Bottom