ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
SAGAI GALGANO Amka Lissu kashinda huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe tu mkuu.Ututumie na HeLa ya kula hayo makange
Kuanzia juzi kuna kitu kilikuwa kina-click kichwani kikiniambia Abduli & Co watapigwa asubuhi na mapema!Umeongea point kubwa sana.
FAM mtoto wa mjini, kapiga mpunga halafu kashindwa uchaguzi.
Wooiiiii... Usikute hata yeye alimpigia TAL
Amekula kote koteUmeongea point kubwa sana.
FAM mtoto wa mjini, kapiga mpunga halafu kashindwa uchaguzi.
Kwa mara ya kwanza... Hakutakuwa na matumizi ya busara!
Kuanzia juzi kuna kitu kilikuwa kina-click kichwani kikiniambia Abduli & Co watapigwa asubuhi na mapema!
Kweli pale kila mtu aliona tayari imeisha. Ila Bon alipokuwa anahesabu kura zake ziliisha haraka kama zinayeyuka 🤣Watu wa diaspora alfajiri walianza kutoa maneno kuwalaani wajumbe walidhani FAM ataongoza kwa kura😂
Boni ni mzembe anayaachia tu makaratasi yanajirundikaKweli pale kila mtu aliona tayari imeisha. Ila Bon alipokuwa anahesabu kura zake ziliisha haraka kama zinayeyuka 🤣
Umenikumbusha mbali sana piga kura kaa mita 100,wanatoka manzese hadi tegeta na fuso yaani maana ya fuso ni kwa miguu wakiwa na goma kubwa.Mimi mfuasi wa CUF ngangari Ile ya JINO KWA JINO ya Maalim Seif kijana natangaza Rasmi kuiunga mkono CDM 2025.
JINO KWA JINO hakuna maridhiano,
Ni ngumu sana kuteka na kuumiza Watanzania wote. Kwa yale mazingaombwe waliyofanya kule Dodoma hata wenyewe chamani wamewachoka!Wanaweza kugeukia kwenye kuteka na kuumiza watu sasa.
Sijui kwanini machawa huwa wana uso wa kuchekesha.