Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Pre GE2025 Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA 2025: Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura 513 sawa na 51.5%

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Ni Mbowe au Lissu

  • Mbowe

    Votes: 179 14.7%
  • Lissu

    Votes: 1,038 85.3%

  • Total voters
    1,217
  • Poll closed .
IMG-20250122-WA0054.jpg
 
Count the blessings
 
Kwa mara ya kwanza... Hakutakuwa na matumizi ya busara!

Kuanzia juzi kuna kitu kilikuwa kina-click kichwani kikiniambia Abduli & Co watapigwa asubuhi na mapema!

Wanaweza kugeukia kwenye kuteka na kuumiza watu sasa.
 
Mimi mfuasi wa CUF ngangari Ile ya JINO KWA JINO ya Maalim Seif kijana natangaza Rasmi kuiunga mkono CDM 2025.

JINO KWA JINO hakuna maridhiano,
Umenikumbusha mbali sana piga kura kaa mita 100,wanatoka manzese hadi tegeta na fuso yaani maana ya fuso ni kwa miguu wakiwa na goma kubwa.
 
Back
Top Bottom