LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
I understand....
Ss wale wabishi wa humu ndo nawambia tusubiri tupate majibu maana wanaamini Israel atapigwa
Na wamefurahi sn kuvamiwa na watu 600 kupoteza maisha
Ss watulie
 
Bibilia? Mbona taifa ilo linaipinga alaf nyie mnaitetea huoni una tatizo la kiutumwa hapo
Wala siyo kweli. Hawana tu injili, the rest ni copy and paste, injili ni agano la kale lililorahisishwa tafsiri
 
inasikitisha sana asee.
 
Al Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari

Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema

Source Al jazeera news
Mbona hawajamalizia sentence? Si waseme wakishamaliza kuwachinja na wenyewe watajiua.

Katika hesabu zao walijua watakamatwa hivyo wakaondoka na mateka ili baadaye wataka prisoner exchange.
Wameanza asubuhi kutaka wenzao waliopo magerezani waachowe ili na wao wawaachie mateka, hakuna aliyewajibu.
Sasa hivi wanatishia kuua, lakini hakuna anayewajibu.
Israel this time hawana mpango wa kukamata na kufunga mtu, sasa hivi wakikamata mtu wanaua, hawawapeleki popote

Your browser is not able to display this video.
 
Aisee
 
Hakuna Cha kulaani hapo nani Mkorofi Yani unaenda kuvamia Taifa ambalo limekuzidi Kila kitu mbaya zaidi Kila huduma za jamii wanakupa wao!! Ngoja wapigwe maana wao ndo wamechokoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…