Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
I understand....Palestine hata waungane na dunia nzima still hawawezi futa taifa la Israel, never! Kuna vita itakuja ambapo mpinga Kristo atajaribu kutaka kuifuta Israel still naye hatofanikiwa.
Kwenye Zekaria 2:8 Mungu anawaambia wana wa Israel "Hakika, anayewagusa nyinyi anagusa mboni ya jicho langu." hii ni kuonyesha how God is serious na taifa lake aliloamua kujifunua hapa duniani. Usicheze na Mungu inapokuja issue ya Israel na ndiyo maana now Iran karuka kimanga kasema aku sikuwasaidia Hamas miyeee, maana anajua jews ni watu gani scientist wake wa nyuklia wengi sana wameuwawa na Israel hivyo anajua Israel hatanii inapokuja kupigania usalama wake.
Netanyau anakwambia "Retaliation against Hamas has only just begun" Israel will use "enormous force" against the Hamas militant group.
Watu hawana supplies ya maji, umeme, mafuta, chakula yaani Gaza imehusuriwa kuna nini tena hapo!
Wahenga husema usianzishe vita ilhali upo kwenye nyumba ya vioo, ndicho kinachowakuata Palestine, mwisho wa siku hasara kubwa sana sana itakuwa upande wa Palestine sasa faida gani itakuwa wamepata! na kibaya waarabu wenzao waliowajaza maneno juzi juzi leo hawana cha kuwasaidia ndiyo kwanza wanajadili amani iwepo hivi mtu kama Netanyau atataka amani tena?
Ss wale wabishi wa humu ndo nawambia tusubiri tupate majibu maana wanaamini Israel atapigwa
Na wamefurahi sn kuvamiwa na watu 600 kupoteza maisha
Ss watulie