LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Al Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari

Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema

Source Al jazeera news


Cowards, they knew hawawezi lolote, ndo maana wakakimbilia kuteka, they are weak, and stupidy.
 
Da inatia huruma sana

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Waisraeli walisha mkataa ndugu Yao Yesu Kristo.

Na kumtangaza kuwa ni adui wa Waisraeli.

Muwaache wafe hadi akili itakapo wakaa sawa.

Nchi Takatifu inamkataa Yesu Kristo na kuwakubalia Mashoga.

Waacheni hao mizoga wafe wazikwe.

Mathayo (Mat) 8:22
Lakini Yesu akamwambia, Nifuate; waache wafu wazike wafu wao. <br><br> But Jesus said unto him, Follow me; and let the dead bury their dead.
 
Nimeiona hii mbona, we unadhani hadi sasa Israel wanajali??
Alaf hamas ikifanya hivo itajiwekea sifa mbaya zaidi.
We unaonaje?? Au fresh tuu wachinje watu hadharani?
 
Al Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari

Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema

Source Al jazeera news


Tatizo la Israel hawasikilizi watu mpaka matatizo yatokee
 
Hii hatari nafikili ndo itaongeza chuki zaidi.
Naona hata nchi za Kiarabu wameona itakuwa hatari zaidi.
 
Ila kilichofanywa na hamas ni sahihi?
Kuvamiwa na kuua raia 600 ambao ht hawahusiki na mambo Yao ?
Kwahiyo Israel akae kimya km fala?
Hao raia walikuwa kwenye ardhi ya wapalestina inayo kaliwa kwa mabavu.
 
Iwe wanampinga kristo hawampingi haiondoi au kubadirisha ambacho Mungu alisema!
Neno la Mungu halibadiriki!
Lkn pia Israel Kuna dini kibao km nchi nyingine..
kwenye mgogoro huu, mtu ukitaja na hoja za maandiko ya dini yoyote ile, tayari ushapoteza mantiki
 


Hizi ni kwa majeshi Hamas sio jeshi tatizo ni hapo
 
Wewe myahudi wa iyunga hao waisraeli wenyewe wanampinga christo hapa sasa hivi wanashambulia makanisa yaliyopo gaza
Wamekariri Waisrael ni wakristo wote..na wamekariri Wapalestina ni Waislam wote. Ndio shida ya ushabiki bila ufahamu...
 
Hapo wana fanya Air raid kwa kupiga Target za Hamas, alafu baada ya hapo inaanza ground invasion kwa kutumia vifaru, hii ground invasion ndo inaenda kusafisha kila kitu hapo Gaza.
Mna subiriwa kwa hamu sana ila kupiga kambi za wakimbizi sio poa.
 
Kabla ya 1947, taifa linaloitwa Israel, lilikuwa wapi katika hii dunia?
 
Nimeiona hii mbona, we unadhani hadi sasa Israel wanajali??
Alaf hamas ikifanya hivo itajiwekea sifa mbaya zaidi.
We unaonaje?? Au fresh tuu wachinje watu hadharani?
Wakifanya hivyo naona watajijengea sifa mbaya zaidi.
Israel sidhana kama watajari maana wanajua watu wao wapo Gaza na still wana heavy 💥 huku Gaza. Naona hawajari tena kuhusu hilo.

Nafikili hamas wanafanya hivyo wameona itakuwa ngumu zaidi kwao kufanikiwa hio mission yao.
Maana naona hata Saudi wanaanza kugeuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…