LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
hata idf waue wapalestina 5000 hii vita hamas wameshinda kila siku tunasikia idf wameua kijana siju mzee wa kipalestina nao waonje utamu
 
Umefuatilia chanzo cha migogoro ya huko kabla ya kuuunda mawazo yako kichwani ? katika kila kitu kabla ya kuongea ni vizuri kutumia muda kufanya research.
Umeelewa kwanza Point yangu nilio mjibu huyo jamaa au Umekurupuka?
 
Mwamba amechambua kitaalamu sana ,anapatikana wapi nianze kumfuatilia ?
 
1. Swali la kujiuliza, hua wanasema Israel ina mosad sijui wapelelezi wa maana, walishindwa nini kuona mipango ya mashambulizi ya Hamas?

2. Mungu wa Israel ameshindwa nini kuilinda Israel yake hadi magaidi waue waisrael wake anaowapemda, taifa lake teule? Mungu anapenda kuona taifa lake teule likiangamia? Mungu alisema yoyote ataeiwazia Israel mabaya atamlaani, alishindwa nini kuwalaani hamas kabla hawajashambulia?

3. Wakristo watakesha na kuiombea Israel kwa mungu wa Israel ambae ameshindwa kuilinda Israel yake mwenyezwe huku waislam watashimda wakiomba Allah SAW aiokoe Palestina. Maombi hayo yote yataenda kwa mungu mmoja kama wanavyosema😂.

Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo. Hakuna cha Allah wala Allan, hakuna cha mungu wala mungulile.
 
Reactions: ITR
Umeelewa kwanza Point yangu nilio mjibu huyo jamaa au Umekurupuka?
Kivyovyote inaonyesha una ulewa mdogo kuhusu siasa za middle eastern na uhusiano na dini ya uislamu pamoja na Uislamu kwa ujumla.

Majibu yako kwa huyo jamaa ni ushahidi tosha ndio maana nikakusihi pendelea kusoma na kufuatilia mambo ili upate uhakika wa mambo.
 
Sasa kama waliivamia gaza kwa lengo la kuiangamiza Hamas lakini mwisho wakaondoka gaza na kuiacha hamas kama walivyo ikuta na mpaka sasa ipo inaendelea kupata nguvu kila kukicha ulitaka nisemeje?
Ndio maana ya kushindwa Vita huko ?
 
Huwa tunaaminishwa intelijensia ya Israel ipo vizuri!,ni kivipi hawakuweza kunusa halufu yoyote ya haya kutokea...?
 
Israel sio nchi ni mavamizi kwenye ardhi ya Palestine
 
Wakati Rais wa JMT anaweka Misimamo wa kipekee kabisa duniani katika mapambano dhidi ya Covid-19 Dunia Nzima ilienda na msimamo wa Marekani ambao kimsingi Ndio Waisrael

Watu wakasema Marekani wako sahihi kwa sababu Taasisi Zao za Usalama hazifanyagi makosa

Leo Israel amerudia makosa ya Marekani aliyofanya miaka 20 iliyopita dhidi ya Al Qaida na imelipuliwa na Hamas kitutusa kabisa

Mungu wa mbinguni mrehemu Julius Nyerere kwa kutujengea misingi Imara ya Usalama!
 
Weka source ya uhakika kutoka kea mamlaka ya Israel wenyewe ,hiyo account ya twitter ya mjaaa siamini maana nimewahi kuona taarifa ikiwa against Israeli ..
source ya uhakika yaani habari mbaya kwa israel itoke israel kwenda huko umeambiwa Commander Nimrod Aloni ametekwa akiwa chooni anajamba saizi na yeye anapigwa shoti pumb*** kamsaidie kama unaweza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…