Hiyo mbinu haitosaidia chochote kwani Israel kuchinjwa kwao ni ajabu saaana? si kuna video kibao hayo magaidi yanachinja kwani imebadilisha kitu kwa Israel?Sikutaka kuiweka ila ngoja nikuwekee! Hii vita imefikia pabaya!
Abu Obaidah Hamas Spox:
Obaidah: We have decided to put an end to the Zionist opression of our people
Obaidah: From now on, every attack on our people will be met with the execution of one of the enemy hostages, which will be broadcast and publicised
Mkuu pande zote wanauwa.
Maana hamas nae wanaanza kuchinja hostages.
Sijajua MUNGU gani unayemzungumzia.
Au Allah; ambaye ndio mchinjaji mkuu
Kumbe wewe ni mpalestina??We stand with ndugu zetu wapalestina,
Subiri kitakachowakuta hao wasiokutambua, hutaamini. Subiri sasa
Halafu una uchache wa taarifa sana!Nione mara ngapi broo?
Hadi asaiv nimeona video mbili za hao majamaa wakichinja waisraeli, mmoja alikuwa kijana mwingine alikuwa mtoto.
Watu na imani zao bhana!
Acha ujinga. Gaza imefungwa pande zote na Israel. Hakuna kitu kinaingia gaza kutoka nje. Palestiniana hawana shida na misaada yao wao wanachotaka wawe free na vizuizi vyote vilivyowekwa na Israel viondoleweNdo hapo ushangae Mkuu Kila huduma ya Jamii wanapewa Umeme maji nk na saivi Israel Inaenda kukata huduma ya mawasiliano maana ake kupigiana Simu hamna tena internet inakatwa Israel wanataka kuua paka kimya kimya
Hakuna Myahudi hapo! Hao ni machotara ya kizungu! Ndio maana wanatetewa sana na wazungu. Inajulikana vizuri hao machotara ndio wavamizi hapo.UN watafanya nini kwa ugomvi ambao hupo kabla Yesu hajazaliwa na ata alipozaliwa bado aliuacha.Hao hawajaanza leo kupigana,ata Goliati aliyepambana na Daudi pia ni uzao wa Kipalestina(Wafilisti).Sasa nani wa kuamulia ugomvi huo?
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Sawa!Hiyo mbinu haitosaidia chochote kwani Israel kuchinjwa kwao ni ajabu saaana? si kuna video kibao hayo magaidi yanachinja kwani imebadilisha kitu kwa Israel?
Hata mandela aliitwa gaidi.Kwaio ninyi ni magaidi ?
Amen 🙏. Kushabikia vita ni ujuha wa hali ya juu sana.
Sasa wanaumia huku waislamu ya Tanzania nao ni waarabu??Halafu una uchache wa taarifa sana!
Waarabu kinachowaunganisba ni uarabu! Awe mkristo awe muislam, kinachowaunganisha ni uarabu.
Usitishike akisema Allahu akbar! Kwa waarabu ni kauli ya kawaida kutamka hivyo!
Hamas hata wakristo wapo kama hufahamu. Unavyosema watu na imani zao naelewa unachomaanisha ila kwako una uchache wa taarifa.
He is technically right. Unadhani kwanini Netanyahu mara baada ya shambulizi amependekeza serikali ya pamoja. Vita zolizopita zote Israel ilikuwa inapigana kwa serikali ileile.Szymon Holownia, head of Poland's 3rd largest party (3rd Way) draws anger with controversial statement at tonight's televised debate ahead of Sunday's election.
He said Netanyahu had weakened Isreal by dividing it through the judicial reform, making the attack by Hamas possibleView attachment 2777091
Kazi ndio bado mbich hapa lzma kiwake Tu maskini jeuri hakuna kupoa washauliwa sana kwahyo lzma mzgo ufike hata punda akifa. Bora kufa kuliko kuishi kwa mateso nice hamas kwa damu ya yesu mtafkaWakifanya hivyo naona watajijengea sifa mbaya zaidi.
Israel sidhana kama watajari maana wanajua watu wao wapo Gaza na still wana heavy 💥 huku Gaza. Naona hawajari tena kuhusu hilo.
Nafikili hamas wanafanya hivyo wameona itakuwa ngumu zaidi kwao kufanikiwa hio mission yao.
Maana naona hata Saudi wanaanza kugeuka.
Ndio, kumbe wewe ni myahudi alielaaniwa?Kumbe wewe ni mpalestina??
Sometimes mambo yanayotokea hapa duniani yanakuwa na sababu yake Huko mbele ya safari kama utaangalia Kwa jicho la tatu hii vita inaenda kutokea hasara kubwa ya kupoteza ule uwezo ambao Palestine walikuwa nao.. Palestine wanaenda kupoteza ardhi na udhibiti wake pia hiki kikundi cha Hamas pengine ndiyo kitakuwa mwisho wake.Natabiri endapo watafanya hivyo huwenda ndio itakuwa mwisho wa kusikia kitu kinaitwa Hamas kwenye uso wa Dunia sidhani kama kuna mtu anaweza zuia hawa Jewish wasifanye maangamizi.
Unajua watutsi wametoka kingdom gani huku miaka ya nyuma???Hawawezi kufanya hivyo!
Israel akijaribu kutaka kuwafuta kabisa mashariki ya kati yote itachafuka! Utamuona Marekani atakapoanza kuhaha! Na wao wenyewe wanajua wakijaribu kufanya hivyo patachafuka kweli!
Watutsi si wayahudi. Ni ujinga tu umewajaa!
Netanyahu ni bwege tu. Hivi security apparatus zote, Zilikua wapi na zinafanya nini hadi nchi inavamiwa na mateka kuchukuliwa??Netanyahu: Tunakwenda kuibadilisha kabisa Middle East