LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Sikutaka kuiweka ila ngoja nikuwekee! Hii vita imefikia pabaya!

Abu Obaidah Hamas Spox:

Obaidah: We have decided to put an end to the Zionist opression of our people

Obaidah: From now on, every attack on our people will be met with the execution of one of the enemy hostages, which will be broadcast and publicised
Hiyo mbinu haitosaidia chochote kwani Israel kuchinjwa kwao ni ajabu saaana? si kuna video kibao hayo magaidi yanachinja kwani imebadilisha kitu kwa Israel?
 
Screenshot_20231009-214541_YouTube.jpg
 
Screenshot_20231009-214600_YouTube.jpg

Sasa kama wanavamia festival na kuuwa watu.

Wapalestina wakiuwawa wanalalamika wakati wao wenyewe wanauwa.
 
Nione mara ngapi broo?
Hadi asaiv nimeona video mbili za hao majamaa wakichinja waisraeli, mmoja alikuwa kijana mwingine alikuwa mtoto.
Watu na imani zao bhana!
Halafu una uchache wa taarifa sana!

Waarabu kinachowaunganisba ni uarabu! Awe mkristo awe muislam, kinachowaunganisha ni uarabu.

Usitishike akisema Allahu akbar! Kwa waarabu ni kauli ya kawaida kutamka hivyo!

Hamas hata wakristo wapo kama hufahamu. Unavyosema watu na imani zao naelewa unachomaanisha ila kwako una uchache wa taarifa.
 
Ndo hapo ushangae Mkuu Kila huduma ya Jamii wanapewa Umeme maji nk na saivi Israel Inaenda kukata huduma ya mawasiliano maana ake kupigiana Simu hamna tena internet inakatwa Israel wanataka kuua paka kimya kimya
Acha ujinga. Gaza imefungwa pande zote na Israel. Hakuna kitu kinaingia gaza kutoka nje. Palestiniana hawana shida na misaada yao wao wanachotaka wawe free na vizuizi vyote vilivyowekwa na Israel viondolewe
 
UN watafanya nini kwa ugomvi ambao hupo kabla Yesu hajazaliwa na ata alipozaliwa bado aliuacha.Hao hawajaanza leo kupigana,ata Goliati aliyepambana na Daudi pia ni uzao wa Kipalestina(Wafilisti).Sasa nani wa kuamulia ugomvi huo?

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Hakuna Myahudi hapo! Hao ni machotara ya kizungu! Ndio maana wanatetewa sana na wazungu. Inajulikana vizuri hao machotara ndio wavamizi hapo.

Wapalestina ndio mwenyeji wa eneo hilo. Wayahudi halisi wapo Abysinia (Ethiopia) na India wametulia!
 
Kwaio ninyi ni magaidi ?
Hata mandela aliitwa gaidi.

Mapapai si mnajulikana mnafata mkumbo tu.

Allahu Akbar ni maneno ambayo pia hutumiwa na Wakristo wanaozungumza Kiarabu, "Mungu" kutafsiriwa "Allah" kwa Kiarabu. Maneno hayo yanatumika katika muktadha wa kiliturujia miongoni mwa Wakristo wa Palestina, na matumizi yake yametetewa na Theodosios, Askofu Mkuu wa Kiorthodoksi wa Palestina wa Sebastia. [33]

Wewe neno Allahu Akbar likimaanisha Mungu ni Mkubwa (God is great) linakukera nini? Au ni shetani wewe?
 
Halafu una uchache wa taarifa sana!

Waarabu kinachowaunganisba ni uarabu! Awe mkristo awe muislam, kinachowaunganisha ni uarabu.

Usitishike akisema Allahu akbar! Kwa waarabu ni kauli ya kawaida kutamka hivyo!

Hamas hata wakristo wapo kama hufahamu. Unavyosema watu na imani zao naelewa unachomaanisha ila kwako una uchache wa taarifa.
Sasa wanaumia huku waislamu ya Tanzania nao ni waarabu??
 
Szymon Holownia, head of Poland's 3rd largest party (3rd Way) draws anger with controversial statement at tonight's televised debate ahead of Sunday's election.

He said Netanyahu had weakened Isreal by dividing it through the judicial reform, making the attack by Hamas possibleView attachment 2777091
He is technically right. Unadhani kwanini Netanyahu mara baada ya shambulizi amependekeza serikali ya pamoja. Vita zolizopita zote Israel ilikuwa inapigana kwa serikali ileile.

Mmojawapo ya wapinzani wakuu wa Netanyahu amegoma kushiriki serikali hiyo kama itaundwa, endapo haitokuwa na mojawapo ya lengo la kuiharibu Hamas kijeshi na kisiasa, siku zote Israel huwa inapambana na military wing ya Hamas sasa wapole wameungana na hardliners wanataka Hamas ipigwe hata mabosi wao waliopo Qatar wawindwe.

Israel ilikuwa na elements za kutia huruma, waliouwawa na kutekwa baadhi yao ni symphesizers wa Palestinians.
 
Wakifanya hivyo naona watajijengea sifa mbaya zaidi.
Israel sidhana kama watajari maana wanajua watu wao wapo Gaza na still wana heavy 💥 huku Gaza. Naona hawajari tena kuhusu hilo.

Nafikili hamas wanafanya hivyo wameona itakuwa ngumu zaidi kwao kufanikiwa hio mission yao.
Maana naona hata Saudi wanaanza kugeuka.
Kazi ndio bado mbich hapa lzma kiwake Tu maskini jeuri hakuna kupoa washauliwa sana kwahyo lzma mzgo ufike hata punda akifa. Bora kufa kuliko kuishi kwa mateso nice hamas kwa damu ya yesu mtafka
 
Natabiri endapo watafanya hivyo huwenda ndio itakuwa mwisho wa kusikia kitu kinaitwa Hamas kwenye uso wa Dunia sidhani kama kuna mtu anaweza zuia hawa Jewish wasifanye maangamizi.
Sometimes mambo yanayotokea hapa duniani yanakuwa na sababu yake Huko mbele ya safari kama utaangalia Kwa jicho la tatu hii vita inaenda kutokea hasara kubwa ya kupoteza ule uwezo ambao Palestine walikuwa nao.. Palestine wanaenda kupoteza ardhi na udhibiti wake pia hiki kikundi cha Hamas pengine ndiyo kitakuwa mwisho wake.
Msemaji mkuu wa jeshi la Israel ametoa wito Kwa jeshi kuongeza mashambulizi zaidi Huko Gaza na wanadai ndani ya masaa 48 yajayo mashambulizi yatakuwa makali zaidi
 
Hawawezi kufanya hivyo!

Israel akijaribu kutaka kuwafuta kabisa mashariki ya kati yote itachafuka! Utamuona Marekani atakapoanza kuhaha! Na wao wenyewe wanajua wakijaribu kufanya hivyo patachafuka kweli!

Watutsi si wayahudi. Ni ujinga tu umewajaa!
Unajua watutsi wametoka kingdom gani huku miaka ya nyuma???
 
Back
Top Bottom