HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Uzuri ndo wataonekana ni magaidiSema hao watoto wa mnyaazi huwa hawatanii!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzuri ndo wataonekana ni magaidiSema hao watoto wa mnyaazi huwa hawatanii!!
Hapo rules of engagement hazihusiki maana Redcross hawapo Gaza muda huuKuna kitu kinaitwa Rules of Engagement ni pamoja na kutoua mateka.
Lakini tatizo ni kwamba hivi vikundi vya Kigaidi havifuati sheria zozote sote tunakumbuka ISIS ilipowakamata Mashia wa Iraq na kuwachinja pembeni ya Mto.
Modus Operandi ya Gaidi ni kuingiza Hofu kwa yeyote yule.
Ugomvi uneanza baada ya Kutangazwa taifa la Israel baada ya vita kuu ya dunia..UN watafanya nini kwa ugomvi ambao hupo kabla Yesu hajazaliwa na ata alipozaliwa bado aliuacha.Hao hawajaanza leo kupigana,ata Goliati aliyepambana na Daudi pia ni uzao wa Kipalestina(Wafilisti).Sasa nani wa kuamulia ugomvi huo?
Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Sawa.Halafu una uchache wa taarifa sana!
Waarabu kinachowaunganisba ni uarabu! Awe mkristo awe muislam, kinachowaunganisha ni uarabu.
Usitishike akisema Allahu akbar! Kwa waarabu ni kauli ya kawaida kutamka hivyo!
Hamas hata wakristo wapo kama hufahamu. Unavyosema watu na imani zao naelewa unachomaanisha ila kwako una uchache wa taarifa.
KawatoeWaisraeli waondoke tu nchi ya watu vita iishe waache ubabe
Hawa jamaa wamechanganyikiwa baada ya waisrael 1000 kuangamizwa siku leo wamegeukia makanisa sasa
Wameshambulia kwa makombora kanisa moja na kuliharibu kabisa
Hii sio mara ya kwanza kubomoa makanisa au kuyashambulia kichapo cha Hamas kimewaingia hadi wameanza kupaniki
Media coverage| Israeli attacks on #Gaza have targeted the third oldest #church in the world, which was 1616 years old, Saint Porphyrius Orthodox Church.View attachment 2777163
Huwezi kuingia Gaza bila Waisrael kujua. Ila wakafeli kwa hili.Netanyahu ni bwege tu. Hivi security apparatus zote, Zilikua wapi na zinafanya nini hadi nchi inavamiwa na mateka kuchukuliwa??
The whole country was sleeping.
Watulie dawa iingieCowards, they knew hawawezi lolote, ndo maana wakakimbilia kuteka, they are weak, and stupidy.
Hiyo safi sana, yaani wayahudi wawe na rukhsa ya kuwaua na kuwashambulia wapalestina lakini wapelestinawasiwe na hali ya kuwauwa wayahudi?Al Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari
Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema
Source Al jazeera news
Angalia source yake, anatumia zile propaganda za kiarabu naye anaaminiUnajifurahisha siyo?
Hamas pekee ambao wapo ndani ya Israel ni wale waliokimbia na kujificha ambao wanatafutwa nyumba kwa nyumba uchochoro kwa uchochoro.
Na kwa taarifa yako tu ni kwamba sasa hivi ndani yacIsrael hadi wananchi wameungana na Jeshi na Police kulinda doria na kusafisha kila aliyebaki.
Halafu wewe unatuletea porojo hapa?
Netanyahu: Tunatoa pole kwa Vifo lakini kichapo kiko pale pale!Hiyo safi sana, yaani wayahudi wawe na rukhsa ya kuwaua na kuwashambulia wapalestina lakini wapelestinawasiwe na hali ya kuwauwa wayahudi?
Anashangaa muarabu akisema hivyo yeye akisema mungu wangu anatofauti gani na mwarabu au akisema yesu wnguHalafu una uchache wa taarifa sana!
Waarabu kinachowaunganisba ni uarabu! Awe mkristo awe muislam, kinachowaunganisha ni uarabu.
Usitishike akisema Allahu akbar! Kwa waarabu ni kauli ya kawaida kutamka hivyo!
Hamas hata wakristo wapo kama hufahamu. Unavyosema watu na imani zao naelewa unachomaanisha ila kwako una uchache wa taarifa.
Hakuna MUNGU anayependa Binadamu wauwane.Ndio, kumbe wewe ni myahudi alielaaniwa?
Na sisi tunampa pole nyingi kwa vifo wvya wayahudi zaidi ya 700 mpaka sasa, lakini kama anavyotowa ategemee kuppokea.Netanyahu: Tunatoa pole kwa Vifo lakini kichapo kiko pale pale!
Nani kakwambia hao ni wana wa Mungu...
Unajua Wayahudi wengi wanamsubiri Yesu aje!!...
Mkong'oto uko pale pale na mzigo ndio haujaanzaAl Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari
Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema
Source Al jazeera news
Hivi ni kwanini Israeli nchi yenye ulinzi mkamilifu duniani na ujasusi ulotukuka imeingiliwa na wapiganaji wa kipalestina ndani ya ardhi yake kwa kutumia miamvuli, mashimo na kwa kupita ardhini?Israel imedhamilia kuiteketeza Palestine. Netanyahu yuko serious sana na vita hii.
Netanyahu: Tunakwenda kuibadilisha kabisa Middle EastNa sisi tunampa pole nyingi kwa vifo wvya wayahudi zaidi ya 700 mpaka sasa, lakini kama anavyotowa ategemee kuppokea.