LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Hapo rules of engagement hazihusiki maana Redcross hawapo Gaza muda huu
 
Ugomvi uneanza baada ya Kutangazwa taifa la Israel baada ya vita kuu ya dunia..
 
Sawa.

Na wale wakristo waarabu walioishi Gaza na West Bank ambao wananyanyaswa, wanawake wao wanabakwa na familia kuporwa mali, acha hivo tuu haohao wakristo waarabu ambao wakizika wafu wao huko palestine, Hamas wanafukua makaburi yao, wanatupa miili ya wafu barabarani, wanasema kwamba kuzika mkristo kweny ardhi ya Palestine ni kosa, kwamba "Wanainajisi ardhi ya Palestine", Hamas hawataki wazikwe kweny ardhi ya palestine.

Kuna muungano hapo?? Huo muungano wa waarabu bila kujali dini uko wapi hapo kama wanawafanyia hivo??

Kweli nina uchache wa taarifa.
 
Wapige popote walipo magaid tumeruhusu hata wakijificha shulen
 
Netanyahu ni bwege tu. Hivi security apparatus zote, Zilikua wapi na zinafanya nini hadi nchi inavamiwa na mateka kuchukuliwa??
The whole country was sleeping.
Huwezi kuingia Gaza bila Waisrael kujua. Ila wakafeli kwa hili.
 
Al Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari

Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema

Source Al jazeera news
Hiyo safi sana, yaani wayahudi wawe na rukhsa ya kuwaua na kuwashambulia wapalestina lakini wapelestinawasiwe na hali ya kuwauwa wayahudi?
 
Angalia source yake, anatumia zile propaganda za kiarabu naye anaamini
 
Anashangaa muarabu akisema hivyo yeye akisema mungu wangu anatofauti gani na mwarabu au akisema yesu wngu
 
Lakini ni taifa pekee ambalo watu wake waliongea na Mungu moja kwa moja. Kwa kifupi unatakiwa umwabudu Mungu wa kweli, ndiye huyo huyo Mungu wa Wayahudi.
Nani kakwambia hao ni wana wa Mungu...
Unajua Wayahudi wengi wanamsubiri Yesu aje!!...
 
Mbona Israel hawana shida na hilo
Al Qasam imetoa onyo la mwisho kwa Israel kwamba itachinja mateka mmoja baada ya mwingine kwa kila shambulio litakalofanywa na Israel Bila tahadhari

Uchinjaji huo utarekodiwa na kurushwa kwa Dunia Nzima, wamesema

Source Al jazeera news
Mkong'oto uko pale pale na mzigo ndio haujaanza
 
Israel imedhamilia kuiteketeza Palestine. Netanyahu yuko serious sana na vita hii.
Hivi ni kwanini Israeli nchi yenye ulinzi mkamilifu duniani na ujasusi ulotukuka imeingiliwa na wapiganaji wa kipalestina ndani ya ardhi yake kwa kutumia miamvuli, mashimo na kwa kupita ardhini?

Wachambuzi wengi ambao tupo "neutral" twamini kuwa huu ni mpango maalum dhidi ya Wapalestina.

Baada ya hapo utasikia Israeli imeongeza maeneo zaidi ya ardhi na itayajenga upya kuwa ni sehemu yake.

Ila mwisho wa Bibi umekaribia ataondolewa.
 
JUST IN: Israeli Prime Minister Netanyahu: “What our enemies will experience in the coming time will be remembered for generations”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…