Huu ni mpango maalum wa Israeli kutaka ardhi zaidi.Netanyahu ni bwege tu. Hivi security apparatus zote, Zilikua wapi na zinafanya nini hadi nchi inavamiwa na mateka kuchukuliwa??
The whole country was sleeping.
Huyu jamaa katili sana.JUST IN: Israeli Prime Minister Netanyahu: “What our enemies will experience in the coming time will be remembered for generations”
Aisee! Eti wayahudi wapo India na Ethiopia. Yaani nimecheka sanaHakuna Myahudi hapo! Hao ni machotara ya kizungu! Ndio maana wanatetewa sana na wazungu. Inajulikana vizuri hao machotara ndio wavamizi hapo.
Wapalestina ndio mwenyeji wa eneo hilo. Wayahudi halisi wapo Abysinia (Ethiopia) na India wametulia!
Acheni kulishana upepo.Lakini ni taifa pekee ambalo watu wake waliongea na Mungu moja kwa moja. Kwa kifupi unatakiwa umwabudu Mungu wa kweli, ndiye huyo huyo Mungu wa Wayahudi.
Licha ya sensitivity ya suala hili, Israel humwambii kitu katika kutimiza mission yake. Hapo sijui wafanyaje kumshawishi akae meza ya mazungumzo. Na ni hardly utasikia raia wake wanalalamikia serijali yao, nchi imejengwa katika misingi ya kuheshimu maamuzi ya nchi. Israel wapo tofauti sana na wale wa upande wa pili ambao hawanaga hata common goal. Kila mtu ni msemaji na kila mtu anatoa kauli, total confusion.Wakifanya hivyo naona watajijengea sifa mbaya zaidi.
Israel sidhana kama watajari maana wanajua watu wao wapo Gaza na still wana heavy 💥 huku Gaza. Naona hawajari tena kuhusu hilo.
Nafikili hamas wanafanya hivyo wameona itakuwa ngumu zaidi kwao kufanikiwa hio mission yao.
Maana naona hata Saudi wanaanza kugeuka.
Baada ya mwezi mmoja usiache kuja kutoa mrejesho tena hapa na uendelee kusimamia hii kauli yako.Ndugu zenu wayahudi vita vya ardhini vimewashinda
Vijana wanashida sana. Wanaleta propaganda wakati watu wanateketea huko. Ndani ya Israel hali imetulia, ni ile huzuni ma vilio vya mauaji yaliyotokea ndiyo inasikika na kuonekana.Angalia source yake, anatumia zile propaganda za kiarabu naye anaamini
Wamerudisha maeneo yaliyochukuliwa na wavamizi.Hivi raia wa Palestina wamenufaika vipi na mashambulizi ya Hamas?
samaleko john.Netanyahu: Tunakwenda kuibadilisha kabisa Middle East
Sasa hapa tatizo ni nini kama kambi ni zao na zipo chini yao,au umechanganya ulitaka kusema zipo chini ta HAMASView attachment 2777148
Kambi za Israeli huko zikim zipo chini ya Israeli muda huu
Vitaondolewaje ukiwa ndani ya NchiAcha ujinga. Gaza imefungwa pande zote na Israel. Hakuna kitu kinaingia gaza kutoka nje. Palestiniana hawana shida na misaada yao wao wanachotaka wawe free na vizuizi vyote vilivyowekwa na Israel viondolewe
Hii ni ishara kwamba Allah mwenyewe hana nguvu yoyote, ndo maana huwa mnampigania. Angekuwa ana uwezo angejisimamia mwenyewe. Hana tofauti na sanamu huyo.Ni wakati wa Mungu wa Israel kulinda watu wake yeye mwenyewe sio kuwapa watu mzigo wa maombi kwa mambo ambayo hayawahusu.
Kama yeye mwenyewe Mungu wa Israel ameshindwa kuilinda Israel yake hadi ipigwe mabomu na Hamas, wewe mnyambo wa Karagwe unakesha kuiombea Israel una akili kweli?
Hujui dunia we, nyie ndio wameshapofushwaShida sana hii!
Kipindi cha hilter