LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Netanyahu ni bwege tu. Hivi security apparatus zote, Zilikua wapi na zinafanya nini hadi nchi inavamiwa na mateka kuchukuliwa??
The whole country was sleeping.
Huu ni mpango maalum wa Israeli kutaka ardhi zaidi.
 
JUST IN: Israeli Prime Minister Netanyahu: “What our enemies will experience in the coming time will be remembered for generations”
Huyu jamaa katili sana.
Waongee wayamalize. Sijajua international community kwa nini wapo kimya.
 
Mm nasema kwakua hawaipigi Tanzania sina Noma lkn wangekua wanafanya hvyo pia nisinge
Kubali unyonge
 
Hakuna Myahudi hapo! Hao ni machotara ya kizungu! Ndio maana wanatetewa sana na wazungu. Inajulikana vizuri hao machotara ndio wavamizi hapo.

Wapalestina ndio mwenyeji wa eneo hilo. Wayahudi halisi wapo Abysinia (Ethiopia) na India wametulia!
Aisee! Eti wayahudi wapo India na Ethiopia. Yaani nimecheka sana
 
PM Netanyahu, "The enemy wanted war, and it shall receive war. Israel's actions will resonate for generations to come".
 
Lakini ni taifa pekee ambalo watu wake waliongea na Mungu moja kwa moja. Kwa kifupi unatakiwa umwabudu Mungu wa kweli, ndiye huyo huyo Mungu wa Wayahudi.
Acheni kulishana upepo.

Tupo kwenye mambo serious nyie mnafanya mzaha ebo
 
Wakifanya hivyo naona watajijengea sifa mbaya zaidi.
Israel sidhana kama watajari maana wanajua watu wao wapo Gaza na still wana heavy 💥 huku Gaza. Naona hawajari tena kuhusu hilo.

Nafikili hamas wanafanya hivyo wameona itakuwa ngumu zaidi kwao kufanikiwa hio mission yao.
Maana naona hata Saudi wanaanza kugeuka.
Licha ya sensitivity ya suala hili, Israel humwambii kitu katika kutimiza mission yake. Hapo sijui wafanyaje kumshawishi akae meza ya mazungumzo. Na ni hardly utasikia raia wake wanalalamikia serijali yao, nchi imejengwa katika misingi ya kuheshimu maamuzi ya nchi. Israel wapo tofauti sana na wale wa upande wa pili ambao hawanaga hata common goal. Kila mtu ni msemaji na kila mtu anatoa kauli, total confusion.
 
Angalia source yake, anatumia zile propaganda za kiarabu naye anaamini
Vijana wanashida sana. Wanaleta propaganda wakati watu wanateketea huko. Ndani ya Israel hali imetulia, ni ile huzuni ma vilio vya mauaji yaliyotokea ndiyo inasikika na kuonekana.
Wakati huohuo wananchi wamejitokeza kugawa maji na vyakila kwa wanajeshi, huku wengime wakijitolea kupika kwa ajili ya wanajeshi wao.
Wakati huohuo Gaza imezungukwa pande zote na IDF wameshaanza kuingia kwenye Mahandaki yao na tayari wanajeshi wa akiba wapatao 350,000 wameshajiunga na jeshi


 
Hamas wamesema asilimia kubwa ya mateka inaowashikilia Wana Uraia Pacha

Kauli Hiyo imetoka baada ya Israel kuporomosha jengo moja muda mfupi uliopita

Source Al jazeera
 
Ni wakati wa Mungu wa Israel kulinda watu wake yeye mwenyewe sio kuwapa watu mzigo wa maombi kwa mambo ambayo hayawahusu.

Kama yeye mwenyewe Mungu wa Israel ameshindwa kuilinda Israel yake hadi ipigwe mabomu na Hamas, wewe mnyambo wa Karagwe unakesha kuiombea Israel una akili kweli?
Hii ni ishara kwamba Allah mwenyewe hana nguvu yoyote, ndo maana huwa mnampigania. Angekuwa ana uwezo angejisimamia mwenyewe. Hana tofauti na sanamu huyo.
 
Back
Top Bottom