LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Okay, hii souce wana doc yoyote kuhusu israel kumbonda palestina? Kama ipo na yenyewe naiomba nicheki
Mzee kwanza unaniomba evidence(Link) nimekupa, asaiv tena unaniomba document? Kweli Broo?? Au labda sijakuelewa??

Inaonekana kwanza hutaki kuamini hayo matukio kama yametokea na pili inaonesha hujui jinsi mambo yanavoendeshwa, unajua maana ya reports??

Mzee hio ni Website ya European Parliament, the elected official legislative body of the European Union(EU) hawawezi kuandika mambo ya umbea au scandal za mitaani, tumia akili broo.

Hizo ni incidents ambazo zimeripotiwa kwa Palestine Police, but hamna uchunguzi uliofanywa na Palestine police wala hatua zozote za kisheria kuchukuliwa, kifupi hawajali kinachowatokea palestine Christian community.

Kama hutaki kuamini bac sikulazimishi.

Tafuta hio document mwenyew sina huo muda.
 
Kichapo wanachopokea na ndugu zao kufa ni respect?hamasi wanasababisha matatizo kwa wapalestina wote
Hawajali hilo. Point waliyofikia hakuna wanachowaza wala wanachoogopa tena hata kama itatokea watafutwa wote kwenye uso wa dunia
 
Nilijua tuu huu uzi utageuka kuwa uzi wa dini. Dini hizi mbili zilizokuja na Mashua na majahazi. Poleni watu wa dini, msiba wenu huu. Dini zimefiwa. 😁
 
Na Bado vita haiishi itakua inatulia tu.
Bado Ile kubwa ya Almgedoni. ..
 
Duuuh! Israel wamenuia kuwaua wapalestina,na wapalestina nao wanapambana,aisee hawa watu,tutaishi na kufa,ila kupatana sidhani.
 
Baada ya mwezi mmoja usiache kuja kutoa mrejesho tena hapa na uendelee kusimamia hii kauli yako.
Ya kwamba Israel ina hitaji mwezi mzima kupambana na kundi lenye wapiganaji wasio zidi 10,000 na ambao hawamiliki chochote zaidi ya bunduki ?sasa huo ukumbwa wa jeshi la Israel uko wapi?
 
Tentative agreement reached on Israeli emergency government, finalized deal expected tomorrow. Ex-Defense Minister Gantz will be joining national unity government & war cabinet, report says.
 
Sio kosa lako, ni kosa la kutumia akili kwenye mambo ya rohoni, ki akili unaeleweka sana.

Kwa nini sasa mambo ya rohoni uyaachie wanayoyajua? Usije ukajiletea laana!????
Mambo ya rohoni ndio mambo gani? Kwa hiyo dini zenu haziruhusu utumie akili? Akili ulipewa kama pambo? Mungu hataki utumie akili?

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu, Mungu hayupo.
 
Kama Wayahudi halisi wako Ethiopia, maana yake Wapalestina nao ni wavamini hapo walipo? Au kama si wavamizi, wanasemaje kama Wayahudi halisi (walioko Ethiopia) wakitaka kurudi kwenye ardhi Yao ya asili (Israeli)?
Hilo haliwezekani, mfano mzuri ni sawa na kusema wangoni wote walioko Tanzania warudi Afrika kusuni na kuwa ondoa wazulu wanaoishi maeneo ambayo wanafikiri yalikuwa maeneo yao!
 
Je mkiuana nyie, waisraeli na wapalestina watawatambua, au mtakuwa mmekufa kibudu

Hiyo ni vita yao waache wapigane... Wao hawafahamu na wala hawatataka kukufahamu kwamba uliwapigania
Sisi hatuuwani maana ni ndugu ila japo vikofi viwili tu nimkate
 
Pole sana


Tupo na ndugu zetu waislamu popote pale, hata wewe ukijichanganya kuwasaidia hao mayahudi hutabaki salama
Wewe una undugu na Mpalestina? Makubwa haya Tena, yaani umchukie mzaramo mwenzio umpende mgeni (mzungu, mwarabu, mhindi etc) kwakua tu ni WA dominion Yako?? Huu Sasa ndio UJUHA promax
 
Mkuu Richard.

Hata US ambaye ndio Baba wa ulinzi na usalama alipigwa na Osama kwa kushtukizwa.

Nikweli Israel wana mifumo ya ulinzi imara, lakini bado haijitoshelezi kwa asilimia 100, kama ilivyokuwa kwa US pia.

Njia waliyotumia kuingia Israel ilikuwa very exceptional kwa mifumo ya ulinzi ya Israel kuweza ku detect.
 
Waislamu mnakubalije wahalifu watumie maneno yenu ya Allah Akbar wakiwa wanafanya uhalifu? Kwa kuua watu?
Hapo ndio ujue aina ya Allah wanaemwamini. Allah anayeahidi mabikra 70 na mito ya ulevi huko peponi ndio huyo huyo anayekunywa damu za watu hapa duniani kwa kisingizio cha kumpigania what a nonsense.
 
in every action there is equal reaction
 

Attachments

  • IMG_20231010_055755.jpg
    47 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…