Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
Mzee kwanza unaniomba evidence(Link) nimekupa, asaiv tena unaniomba document? Kweli Broo?? Au labda sijakuelewa??Okay, hii souce wana doc yoyote kuhusu israel kumbonda palestina? Kama ipo na yenyewe naiomba nicheki
Inaonekana kwanza hutaki kuamini hayo matukio kama yametokea na pili inaonesha hujui jinsi mambo yanavoendeshwa, unajua maana ya reports??
Mzee hio ni Website ya European Parliament, the elected official legislative body of the European Union(EU) hawawezi kuandika mambo ya umbea au scandal za mitaani, tumia akili broo.
Hizo ni incidents ambazo zimeripotiwa kwa Palestine Police, but hamna uchunguzi uliofanywa na Palestine police wala hatua zozote za kisheria kuchukuliwa, kifupi hawajali kinachowatokea palestine Christian community.
Kama hutaki kuamini bac sikulazimishi.
Tafuta hio document mwenyew sina huo muda.