LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mambo ya rohoni ndio mambo gani? Kwa hiyo dini zenu haziruhusu utumie akili? Akili ulipewa kama pambo? Mungu hataki utumie akili?

Achana na hadithi zisizo na kichwa wala miguu, Mungu hayupo.

Unaona sasa umethibitisha maneno yangu? Uwe na siku njema.
 
kamanda mwengine WA Israeli amekufa usiku WA kuamkia leo katika uwanja WA mapambano Israeli ardhini inapoteza Askari wengi sana
 
Kumpigania Allah ni kazi ngumu sana. Baada ya kufa ni hukumu hakuna cha mito ya ulevi huko peponi wala mabikra 70 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Kichapo kipo pale pale
 
mbona umekimbilia kwenye defensive mode mkuu?, kama neno doc halifai sio kesi nalibadilisha na link, anyway na hichi ulichofanya ww hata wesetern media nao wanafanya hicho so siwezi shangaa


Jana BBC anapost

500 died in Gaza

700 killed in Israel
 
Sasa msimamo wa Mwalimu Nyerere sio Nchi Today's vip ndugu yangu kama sio wa Nchi mbona hatukuweza kuwa na balozi kwa kipindi chake na Ubalozi wa Israel umekuja juzi tu hapa.
Kiongozi akitoa kauli siyo kwamba ndiyo uanze uhusiano bro!.

Mfano; Wizara ya mambi ya nje imetoa kauli kwamba hatuhungi mkono vita bali watafute suruhu!.

Kiprotocal hiyo ni mbinu ya kujitenga kwa kujionyesha unaegemea upande mmoja.
 
Wewe una undugu na Mpalestina? Makubwa haya Tena, yaani umchukie mzaramo mwenzio umpende mgeni (mzungu, mwarabu, mhindi etc) kwakua tu ni WA dominion Yako?? Huu Sasa ndio UJUHA promax
Washaitoa na tamko Wana andamana hapa Tz..
Halafu walivyokuja wapuuzi hawajui kuwa ht Palestine wakristo pia wapo
 
Kumpigania Allah ni kazi ngumu sana. Baada ya kufa ni hukumu hakuna cha mito ya ulevi huko peponi wala mabikra 70 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Kichapo kipo pale pale
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kinachiendelea huko gaza ni uhalifu na ukatili mkubwa dhidi ya binadamu. Kinachofanywa na jeshi la israel ni uhalifu wa kivita na ni ukatili wa kibinadamu. Jumuiya za kimataifa ziingilie kati huu unyama unaoendelea
Hakuna jumuiya za kimataifa, Kuna magenge ya kimataifa. Sijui kwa nn watu Bado Wana Imani na UN.
 
Hilo onto la hamas ni useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…