LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Thanks kwa bandiko zuri
 
Nimeona jamaa wamelipua fence wakaambush kifaru cha IDF na kuwapelekea mkono heavy wajeda waliokuwemo, sasa majibu yake hayatakuwa ya kitoto, ngoja tuone. Hii dunia tunakoenda siko.
 
Guys tell me Hamas, is it a state or political party??

Wikipedia confused me. It says. Hamas is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist, militant, and nationalist organization.


it's not Palestine fighting Israel, but a group of individual. Make me understand
 
Nimeona jamaa wamelipua fence wakaambush kifaru cha IDF na kuwapelekea mkono heavy wajeda waliokuwemo, sasa majibu yake hayatakuwa ya kitoto, ngoja tuone. Hii dunia tunakoenda siko.
Kama hao wafilist wamweza kupenya hadi kambini huo moto utatoka wapi?
 
Kitakachowakuta wapalestina this time watalia
 
Kama hao wafilist wamweza kupenya hadi kambini huo moto utatoka wapi?
Jeshi la israel kwani hawana Quick Responce Force mbona kama hawa wajomba wanajiachia sana. Naamini wakichelewa hatarudi hata mmoja palestina.
 
Mbona hata mwizi akiokoka kifo na kukamatwa anamshukuru Mungu ?

Kumtaja Mungu ni kawaida na mazoea ya mtu , na wewe kutowaona Wayahudi wakimtaja Yahweh sio kwamba hawamtaji.
 
Palestinians seizing tanks and other vehicles at an IDF military site east of Gaza
Your browser is not able to display this video.
 
Wamewachokoza wenyewe

Kichapo kikianza wale wa haki za binadamu wakae pembeni
 
hata idf waue wapalestina 5000 hii vita hamas wameshinda kila siku tunasikia idf wameua kijana siju mzee wa kipalestina nao waonje utamu
Unaota ety Mara ngapi wanamgambo wa Hamas umeona wanapigana Hana kwa ana na IDF zaidi ya kurusha maroketi na kujificha.

Hao hamas hawana kiongozi aliyebora wa kuwaongoza wao kupigana strategic war.Sababu unaotakiwa kuwatia hofu IDF kwa kuwashambulia direct wenyewe kwa kiwango kikubwa hiki ndio anachofanya Hezbollah ndio maana anaogopwa na Israeli.
 
Kupitia huu uzi nitakua nawapa updates kuhusu yanayoendelea kati ya Israel na Gaza

Update:Kamanda wa jeshi la Israel akamatwa na Hamas
Media coverage: "A circulating picture shows the capture of senior Israeli military commander Nimrod Alloni by the #Palestinian resistance as part of the ongoing Operation Al-Aqsa Storm in the south of Palestine."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…