LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
The Israeli Defense Force stated today that the United States has Advised them that U.S. Naval Vessels and Aircraft from Carrier Strike Group 12 which will soon be in the Eastern Mediterranean are prepared to assist with Combat Operations alongside Israel if a Multifront War against Hezbollah or other Regional Actors occurs.
 
Sichukii mtu, ila nachukia maovu/matendo yao. Wewe hapo na uyahudi wako au ukristo wako unategemea utakua rafiki yangu! Kwanini nisiwe na rafiki mwarabu ambae ni ndugu yangu katika imani! Narudia tena, simchukii mtu yeyote yule ila nachukia maovu yao
Huwezi, unaota Kijana Tena ndoto za mchana
 
Nipe source mzee wangu
 
Israeli iache kushambuli makazi ya raia hovyo hovyo ,waingie under ground wawafuate hamas walipo tuone umwamba wake na sio kurusha mabomu tu na kuharibu majumba kama vichaa alafu unajiita eti una jeshi bora.
Unampangia mtu jinsi ya kupiganaπŸ™†
 
Basi wote ni magaidi maana wote wana fanya vitendo vinavyo fanana.
Sio kunya anye kuku bata akinya amehara.
 
Mkuu nawewe ubarikiwe
Mkuu Palestinian ni wanyama kama jamaa alivyosema Yani hakuna kitacho badilika hapo labda wauwe wote na ukweli ni kwamba hao unao waona ni hapo Gaza wako wengne wng kila mahali sasa usidhani ndio mwisho nakwambia ni mwanzo labda waondoke
 

Magaidi wa Kiislam wa Hamas wamewaweka watoto mateka wa Israel kwenye cage ya wanyama 😴
 
Umeongea sahihi kabisa!! Ni kama Israel piah wapo wengi sana na hiyo vita Mkuu siyo mwanzo ni tangu zamani hayo mataifa yanagombana na hiyo haitoisha huwa unatulia inarudi kwaiy hapo n mwendelezo siyo mwanzo .
Lakini Mara nyingi Israel huwa anashinda hiyo Vita.
 
Nakukumbusha tena acha story za uongo na kweli. Uzuri huu uzi tupo hapa utaona matokeo ya mlicho chokoza. Tusioongee sana
 
Lakin wote walibarikiwa
 
Unaweza kututhibitishia kuwa haya uliyoandika ni ya kweli??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…