LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Israel wamepagawa wanaua raia na watoto na majengo hovyo. Ila nafurahi wapewa warning tangu jana usiku sijasikia wakishambulia raia tena
Kwa hiyo wale raia waiesrael waliouwa na kuchinjwa na magaidi wa hammas sio watu au unaleta unafiki na kutafuta huruma kwa wapalestina subiri waone moto

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mambo uwa nawaza sana siku zote tuliaminishwa kwamba shirika la ujasusi la Israel ndio bora zaidi lakin limeshindwa kujua mipango yote hii na inasemekana litamtoa Netanyau madarakani kwenye uchaguzi ujao pia tuliaminishwa Israel ndio bora zaidi lakin hao wanamgambo tu Hamasi inaomba msaada je itaweza kupambana na Iran yenyewe kama yenyewe? Nilikuwa na imani kubwa sana na Israel lakin naona kana kuna kitu hakipo sawa
 

UNAONGEA UJINGA HUKU UKIJIHISI WEWE MWENYEWE KUWA NI MWEREVU,KWANI NANI NI MVAMIZI HAPO BAINA YA MUISRAEL NA MPALESTINA??WALIKUWA WAPI HAO WAZAYUNI BEFORE 1948??

UISLAM WA WAPI UNAOSEMA KWAMBA MTU ETI AKIWA NA IMANI NYINGINE ETI LABDA AWE MKRISTO BASI APIGWE MAWE HADI KUFA KWA KUTOFUATA IMANI YA UISLAM??TUPE USHAHID WAPI WATU WAMEHUKUMIWA IMANI YA KUPIGWA MAWE HADI KUFA ETI KISA IMANI YAO N WAKRISTO WAPI??

A LOT OF CHRISTIANS WAPO NCHI ZA KIARABU WENGI TUH,SO WEWE UNADHANI HUKO UARABUNI HAKUNA CHRISTIANS?

In 2022, the number of Christians living in Saudi Arabia was estimated at 2.1 million; however, it was unknown how many are Protestants, Catholics or Orthodox[15] Other estimates put this at over 2 million

SASA UNAPOSEMA KUWA MKRISTO NCHI ZA KIARABU NI KUWA TAYARI KUFA WAKATI WOWOTE NI UZUSHI NA KUTOKUWA MJUZI WA MAMBO YA WAZI KABISA
 
Reactions: ITR
Zaidi ya vyama 35 vya wanafunzi wa Havard University-moja ya chuo kikuu bora kabisa duniani, jumamosi tarehe 7 October walitoa tamko la pamoja linalosema kuwa uamuzi wa Hamas kuishambulia Israeli hakutokea hewani tu , bali ni matokeo ya utawala wa kibaguzi wa Israeli ambao wamekuwa wakiwafanyia waPalestina kwa miaka mingi.

Nawanukuu;

"Hamas-led attack “did not occur in a vacuum” and that Israel was “entirely responsible for all unfolding violence.”

Wakaongeza kwa kusema siku zijazo waaplestina wajiandae na mashambulizi kutoka Israel kutokana na uamuzi wao waliouchukua.
Nanukuu andiko lao ;

"In the coming days, Palestinians will be forced to bear the full brunt of Israel's violence,"

Kufuatia barua hiyo lawamana kubwa zimeelekezwa kwenye uongozi wa chuo hicho kwa kushindwa kutoa tamko kuonyesha kusapoti Israel.

Lawama hizo dhidi ya ungozi wa chuo kikuu cha Havard zimetoka haswa kwa graduates and alumni wa Havard ambao wengi wao ni wanasiasa mashuhuri nchini Marekani kama vile Senator. Ted Cruz (wa Texas) , Representative. Elise Stefanik (wa New York) na Lawrence Summers(aliyekuwa mtaalam wa mambo ya sera za mambo ya uchumi Washington na raisi wa chuo kikuu cha Havard)

Namnukuu hapa Mr. Lawrence kauli yake aliyoitoa katika mtandao wa X;


“The silence from Leadership, so far, coupled with a vocal and widely reported student groups’ statement blaming Israel solely, has allowed Harvard to appear at best neutral towards acts of terror against the Jewish state of Israel,” .

Chanzo:
Joint statement by Havard students

 
Kutoka Deutsch Welle-dunia yetu leo mchana.

Nalipanda jukwaa la manufaa, enyi nyie wayahudi na waarabu wa bonyokwa na kwa mtogole acheni chokochoko na kushabikia vita zinazoendelea huko gaza. Nisome kama mla bata kutoka jf, Ujumbe tupendane.
 
Sio kila myahudi ni muisrael
 
Nikawaida ya ulimwengu mbona simple sana lkn mapambano bado yanaendelea tulia usikejili dini weka hoja maisha yataenda sawa
 

The term "Islam" is a verb form of the word "salima", meaning "to be safe." Its religious significance or meaning is "entire surrender of the will to God". The followers of Islam are called are called Muslim, which means "those who have surrendered themselves", or "believers" of the Divine message.


What does Allah say about other religion?


In fact, to disrespect another religion is explicitly condemned in the Quran; “Do not abuse those whom they worship besides Allah” (6:109). If a person claims to be Muslim, he is not allowed to insult or disrespect another religion


Everyone's God-given human dignity must be respected, regardless of his or her faith, race, ethnic origin, gender, or social status (ref. Qur'an, 17:70). Because everyone is created by God Almighty, the Maker of all, humans must treat one another with full honor, respect, and loving-kindness

Just to mention few to you may be you can come back to your senses,HAIWEZI KUWA DINI AU IMANI NI IMANI YA MUNGU KISHA IWE NA HAYO MADUDU UNAYOSEMA KISHA IWE NA FOLLOWERS OF MORE THAN 1.9 BILLIONS WORLD WIDE..
 
Nakukumbusha tena acha story za uongo na kweli. Uzuri huu uzi tupo hapa utaona matokeo ya mlicho chokoza. Tusioongee sana
Wapi nimeleta story za uwongo let hio quote kama unayo mimi sijazaliwa na waongo nimezaliwa kwenye family ambazo tunafundishwa kuwa muongo huwa Mungu hamkubali kabisa sababu akianza uwongo hata kwenye Imani yake inakuwa haminiwi na Mungu sababu anaweza jidai mtu wa dini kumbe ni mnafiki.

Narudia tena we kama unapoint nilio ongea uwongo lete hapa na uhakika huna na hauta pata.

Angalia wanaume wanavo onyesha namna walivyo kata ile fance ya Israel ambayo aligharimia mabillion eti ajikinga na Hamasi 😂


View: https://youtu.be/kO9GN01JVHg?si=8XPc0ALtiGx8K4Je
 
Nikajua nchi kibao kumbe moja
 
USA na MASWAHIBA WAKE WANACHEZEA MOTO AMBAO HAWATAWEZA KUJA KUUZIMA.

 Muda utaongea soon.
Propaganda zimejikita kwenye ushabiki zaidi.
Tokea jumamosi baada ya uvamizi uliotokea Israel hakuna watu waliosema kuwa tukio lile ni mbaya na wala siyo njia ya utatuzi wa migogoro kati ya pande zinazosigana. Lakini tokea Israel wameanza kujibu mashambulizi kumeibuka watu wengi sana wanaowalaani.

Mimi kitu ambacho nimeshindwa kuelewa, Dunia imeshindwa kuona ni namna gani watu waliowachache hapo Ukanda wa Gaza washawishiwe waamishwe ili kuepusha vurugu zinazoendelea kila nyakati?

Mbona project kadhaa imeshasababisha jamii ya watu wenye idadi kubwa sana kuamishwa, imeshindikana nini watu kuamishwa ukanda wa Gaza.
Vita haitakuja kutatua mzozo wa Gaza, kama Israel ni nchi na Palestina pia ni nchi je hazina mipaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…