LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
sijakataa kuwa Ishmael hakubarikiwa alibarikiwa ndiyo lakini nje ya agano na ukitaka kujua ubora wa baraka za agano angalia katika Ishmael ni aina gani ya roho, dini, watu, imani vimepita then angalia aina gani ya roho, dini, watu, imani vimepita kwa kupitia Isaka ni dhahiri shair kuna upande wa Mungu na upande wa shetani, Mungu kapitisha vya kwake kwa Isaka maana ndipo agano lake lilipo na vya shetani vingi mno vimepita kwa Ishmael.

Anyway kama utakuwa ni mfuatiliaji wa mafundisho na maarifa ya Mungu wa biblia utakuwa unaelewa maana yake nini ninaposema baraka za agano na baraka za nje ya agano. Issue ya agano kibliblia si mchezo ndiyo maana kuna agano jipya na la zamani kuonyesha seriousness ya jambo hili.
Ndo maana nimekwambia mwanzo upo sahihi kabisa!! Agano la Mungu lipo kwa Isaka na katika kizazi Cha Isaka ndo manabii, Mitume pamoja na Yesu ndo alitokea hapo sabab ya Agano ambalo Mungu aliapa kwa Isaka.
Upo sahihi Mkuu hata Biblia imeandika.
Hapa
Mwanzo 17 : 19 - Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.

Kwaiyo Upo sahihi kabisa
 
Sidhani kama ni kuisaidia israel, hii wanatoa tahadhari tu kwa vimbelembele wengine mahasimu wa israel wanaoweza kujiingiza kwenye huu mgogoro kuwa wakileta pua watafyekelewa mbali
 
🤣🤣🤣🤣🤣Marekani huwa inanichekesha sana. Kwanini hakwenda Urusi kuwakomboa wale watoto mwamba Putin aliowachukuwa toka Ukraine? Badala yake amekimbilia kwenda kufungua keai mahakamani.

Hapo GAZA ameona ni kibonde na dh@u mno, faster ameshatia mguu kuonyeaha dunia umwamba wake🤣🤣🤣🤣🙈🙈
Hana hata aibu eti anawatisha Hamas 🤣🤣🤣
 
Israel Taifa la Mungu linalindwa na Air anti missiles za maana na mitambo ya kisasa


Afrika inalindwa na Mungu mwenyewe🤣
 
Kwa hiyo wale raia waiesrael waliouwa na kuchinjwa na magaidi wa hammas sio watu au unaleta unafiki na kutafuta huruma kwa wapalestina subiri waone moto

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Vita ina kanuni zake hata hao hamas kubwa watoto na raia wasio na hatia ni kosa. Wanatakiwa wauwane wanajeshi kwa wanajeshi.
 
Sidhani kama ni kuisaidia israel, hii wanatoa tahadhari tu kwa vimbelembele wengine mahasimu wa israel wanaoweza kujiingiza kwenye huu mgogoro kuwa wakileta pua watafyekelewa mbali
Ina maana kwa hatua hiyo ameruhusu Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi.

Wapalestina hawana mtetezi maana Arab league waliotakiwa kuwasemea wameshakuwa 'compromised' kitambo........labda angalau jumuiya ya kiislamu (OIC) yenye Uturuki, Iran, Pakistan, Indonesia ndio wanaweza kuwa sauti ya Wapalestina.
 
Sorry Kwa ulicho kiona sema ndio unyama ana staili kufanyiwa mnyama embu angalia Israel na Palestinian wapi watoto wngi wameuliwa au ndio huoni
Learn to differentiate an action and a reaction.
There are two totally two different things.
 
Hii Vita sasa inaweza kuenea Dunia Nzima ni vizuri kuanza kujiwekea akiba ya mahitaji ya lazima

Al jazeera news

Mlale Unono
 
Back
Top Bottom