Mkuu, lengo la Israeli ni kuhakikisha wanajizolea sehemu ingine kubwa ya ardhi (Imperialism) maana uwingi wa wapalestina ni lazima udhibitiwe.
Ndo maana Israeli wanashutumiwa kwa kufanya mauaji ya halaiki au ya kupunguza idadi ya watu.
Kama umemsikiliza Netanyahu (bibi) amesema operesheni ya sasa ni ya kumaliza kazi ili Wapalestina wasiwe na nguvu yoyote.
Tayari nchi nyigni zinailaumu Israeli kwa hatua nzito kupitiliza kuita wanajeshi 600,000 ili kukabiliana na wapiganaji wapatao 3000 kwenye taifa la wapalestina lenye watu milioni 2 na nusu.