LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Idadi ya Wapalestina inaongezeka kwa kasi tofauti na Israel, huenda hilo ni tishio kwa wazayuni wa Israel toka Kitambo..

Racist Israel exaggerates the ‘threat’ of Palestinian population growth

Kwa huu mzozo mpya huenda Israel ikajaribu tena kuikalia Gaza.

Ila itakuwa kwa gharama kubwa sana kwao maana haitakuwa rahisi kuiangamiza Hamas sana sana raia wa kawaida wa Wapalestina ndio watakaofikwa na maafa.

Na wale mateka karibu 150+ wa Israel walioshikwa na Hamas wanaipata Israel wakati mgumu kuivamia Gaza maana Wana hofu huenda uvamizi wao ukawadhuru.

Huenda Hamas ikawatumia kama kete ya kubadilishana wafungwa na Israel hapo baadae
Ndio, mateka ni 150 na Hamas wamesema Israeli wakiingia kichwakichwa watawachinja wote.

Ila tatizo jingine ni kwamba Hezbollah nao wameingia rasmi warusha makombora kutokea kusini mwa Lebanon baada ya Israeli kwa bahati mbaya kuwaua wapiganaji wake jana.
 
Uzuri Netanyau kawajibu
Kwamba wauwe hao mateka ,watakachokioata ni zaidi ya hiki wanachokiona ss!

Acha tuendelee kuangalia yanayojiri
 
Mkuu hizo heavy 💥 Za Gaza kwani hawajui kuna raia wao
Wanashambulia zaidi majengo yanayohifadhi silaha, nyumba za viongozi wa Hamas na miundombinu mingine tu Hamas na Islamic jihad tena baada ya kuwa na intelligence kuhusu kina nani wapo humo.

Hamas wametishia kuua mateka mashambulizi yakiendelea zaidi dhidi ya raia wao.

Ndio, mateka ni 150 na Hamas wamesema Israeli wakiingia kichwakichwa watawachinja wote.

Ila tatizo jingine ni kwamba Hezbollah nao wameingia rasmi warusha makombora kutokea kusini mwa Lebanon baada ya Israeli kwa bahati mbaya kuwaua wapiganaji wake jana.
US kapeleka ile aircraft carrier yake kubwa na ya kisasa zaidi ya Gerald Ford kuitisha Hezbollah wasijiingize kwenye mzozo.

T14 Armata
 
sure, na uzuri Islael inawamudu wote, Gaza giza.
Jamaa kweli ni balaa, ki kipigo cha mbwa koko kinawakuta na wasio Hamas aisee !!
Hilo taifa walishalishindwa tangu 1967 wakati huo walipoitana nchi zaidi ya sita kumwangukia Israel wakatandikwa.
 
Uzuri Netanyau kawajibu
Kwamba wauwe hao mateka ,watakachokioata ni zaidi ya hiki wanachokiona ss!

Acha tuendelee kuangalia yanayojiri
Israeli hawawezi kufanya mashambulizi ili kuwaokoa mateka itakuwa ni saini ya kujiondoa uwaziri mkuu kwa Netanyahu.

Sasa hivi serikali yake ipo matatizoni kwa kushindwa kuilinda Israeli na mashambulizi yalotokea ya Hamas.

Hivyo hawatakurupuka ila kutatafutwa compromise.
 
Acha uongo hakuna kiongozi anaye jielewa akasema maneno hayo maana ana waweka mateka kwenye hatari.
Wala sio uongo fuatilia habari ww
Nilete uongo hapa unisaidie nn?
Nasikiliza vyanzo tofauti na nimesikia DW Kwa masio yangu haya nikudangamye ww Ili nipate nn?
 
Israeli hawawezi kufanya mashambulizi ili kuwaokoa mateka itakuwa ni saini ya kujiondoa uwaziri mkuu kwa Netanyahu.

Sasa hivi serikali yake ipo matatizoni kwa kushindwa kuilinda Israeli na mashambulizi yalotokea ya Hamas.

Hivyo hawatakurupuka ila kutatafutwa compromise.
Huenda baadhi ya wakubwa wa Mossad, Shinbet, IDF wakajiuzulu baadae kwa kushindwa kuzuia hili shambulio.
 
US kapeleka ile aircraft carrier yake kubwa na ya kisasa zaidi ya Gerald Ford kuitisha Hezbollah wasijiingize kwenye mzozo.

T14 Armata
Lakini mkuu si huwa tuna waambia kila siku ya kuwa mdhamini mkuu wa usalama Israel ni USA nyinyi mna bisha?
Kiufupi kwa hali ilivyo iwapo Hizibullah ikianzisha mashambulizi kamili na yenye nguvu bila msaada wa Marekani ni lazima Israel izidiwe.
 
Israeli hawawezi kufanya mashambulizi ili kuwaokoa mateka itakuwa ni saini ya kujiondoa uwaziri mkuu kwa Netanyahu.

Sasa hivi serikali yake ipo matatizoni kwa kushindwa kuilinda Israeli na mashambulizi yalotokea ya Hamas.

Hivyo hawatakurupuka ila kutatafutwa compromise.
mi naangalia live
Na nasikiliza BBC, DW,. Na kwingine..ss km hivi vyombo ni vya uongo sawa
 
Tena Netanyau amewajibu amewaambia ole wao Wauwe hao mateka
Watakachokiona ni zaidi ya wanachokiona ss.
Halafu kwann watoe Hilo tangazo? Si waendelee na mission Yao?
Mission zimegonga mwamba, wajamaa wanasema hata wakiua wote won't make anything better kichapo kipo pale pale mpaka wote wageuke vifusi.
 
Back
Top Bottom