LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mkuu Hamas sio wapuuzi kiasi hicho kuhifadhi silaha kwenye majengo hali ya kuwa wanajuwa Israel atayashambulia majengo hayo hamas silaha watakuwa wana ficha kwenye mahandaki.
Sasa mbona Israel wanashambulia majengo ? Au wanataka tu kuwakomoa Wapalestina ?
 
Israeli ilipigana na Hezbollah mwaka 2006 sidhani kama ulifuatilia na hakupatikana mshindi.

Israeli hawezi kupigana vita ya ardhini ya mtaa kwa mtaa.

Ndo maana sasa hivi wameita wanajeshi 300,000 ili kuwe na mauaji ya kutisha kwa wapalestina.

Ndo maana ni lazima atumie ndege za F-16 kupiga mabomu makali na sasa hivi Israeli imeshutumiwa kutumia mabomu ya Phosphorus ambayo yamepigwa marufuku.

Lengo la Israeli kutumia mabomu hayo ni kutaka kufumua njia za chini kwa chini.
Vita vya mtaa kwa mtaa ni ngumu sana, maana hujui adui wako amejificha wapi, na ni vita inayochosha sana. Marekani iliwasumbua sana walipoivamia Iraq
 
Vita vya mtaa kwa mtaa ni ngumu sana, maana hujui adui wako amejificha wapi, na ni vita inayochosha sana. Marekani iliwasumbua sana walipoivamia Iraq
Marekani walisumbuliwa sana na wapiganaji wa Iraq pale Fallujah au Battle of Fallujah.

Vita hiyo ilichukua wiki sita na ilibatizwa jina la Operation Phantom Fury.

Ilikuwa ni baada ya wanamgambo wa Iraq au "insurgents" kufanya shambulizi la kushtukiza (ambush) kwa vikosi vya Blackwater na kuua askari wanne wa kimarekani.
 
Ni kweli US anagharamia mno ulinzi wa Israel, dola billion 3 kila mwaka ($3bn).

US anajaribu kuzuia huo mzozo usisambae zaidi na kuwa Vita ya kikanda.
Kufanikiwa kwa US pia ni kwa sababu Jews wengi sana wapo US na ndo matajiri wakubwa wakiwa wameshika sekta zote nyeti mfano fedha, teknolojia ya silaha, teknolojia ya habari, siasa oil & gas n.k so obvious fedha watakayopeleka Israel ni nyingi pia na ndiyo maana siyo rahisi eti ukasikia US akiilaani Israel maana US inaamini katika neno la biblia "nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani"; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa na of course matokeo ya kutekeleza mstari huu kimatendo yako wazi sanaaa kwa US ndiyo maana US ipo hapo ilipo leo kiuchumi na kiteknolojia, uimara wa kijeshi, vyuo bora vya elimu ya juu n.k.
 
Sio kwamba hiyo Ford inaenda kuisaidia Israel kuzuia silaha kuingia Gaza ?...

Usishangae wakashiriki kwenye kusaidia offensive dhidi ya Gaza kama itafanywa maana raia wao baadhi wametekwa na wengine wameuawa.

isitoshe Biden anajaribu kujijenga kisiasa maana ana uchaguzi mbeleni na republic wanamtupia lawama kwa hili tukio........hivyo atafanya hayo kuiridhisha Israel na wapiga kura wake

... isitoshe Israel imeshapewa baadhi ya silaha na ammunition kutoka US kwa ajili ya uvamizi wa Gaza.

Marekani ina makubaliano na Israel kuongezewa ammo stockpile ikiwa vitani. Makubaliano hayo pia wanayo South Korea na nahisi hata Taiwan wanayo.

US imeongeza stocks kidogo labda za small diameter bombs maaa zinatumika sana, Hellfire missiles nimeona wanazitumia sana kwenye Apache helicopter gunships, na mabomu mengine kama GBU na watahitaji kuongeza bunker busters ndogo kubomoa maandaki ya Hamas na hasa Hezbollah ikiingia rasmi.

Hezbollah ina uwezo wa anti ship warfare na strategy ya Iran inajulikana siku zote ni kuzuia kupita kwa meli kwenye strait ya Hormuz na ghuba ya Uajemi na bahari ya Mediterranean nzima. So, Ford inaenda kuweka ulinzi wa strait kulinda shipping lines za kwenda Ulaya na Marekani hasa kulinda tankers. Ikitokea Hezbollah wanaingia hesabu kuona Royal Navy nayo inatia mguu hayo maeneo.

Sioni dalili za Iran kuingia moja kwa moja, hilo ndio lingelazimisha Ford battle group ifanye engagement dhidi ya Iran. Pale ukingo wa baharini Iran ina underground military infrastructure zenye missiles na fighter jets kuzuia meli zisipite ili kutia pressure uchumi wa dunia na kulazimisha negotiations.

USN inaweza isifanye kitu labda reconn na missiles strikes chache za hapa na pale hasa Tomahawk kuna chances kubwa zitumike. Ila kwamba kutakuwepo sorties nyingi na ubize mkubwa sidhani.

Hezbollah ina nguvu sababu haifuatwi kwao kuogopa lawama. Hamas imefuatwa kwao, Hezbollah wana thousands of missiles na ziko powerful wakianza wataleta madhara zaidi ila watafuatwa kwao bila hata resolution ya UN. Watakuwa na some weeks of wrecking havoc baada ya hapo wataanza kupost picha za baba amebeba kichanga kimekatika mguu mmoja kiko kwenye sanda nyeupe.

Iran haina mpaka na Israel inabidi ipite Syria then Lebanon ndio iingie Israel Kusini. Au ipite Iraq. Israel imesema Iran ikitumia Syria basi serikali ya Syria inashambuliwa, Assad atafute andaki mapema. Iraq sio rahisi sana ila kuna makundi wa Washia maelfu ya wapiganaji wanaumiza kichwa serikali, walewale ambao Qasem Soleimani alikuwa anatembelea alipouwawa na drone ya Marekani. Hao ndio wanaweza tumiwa na Iran.
Marekani iko kutia pressure kupunguza possibility hizo.
Jordan iliacha kiherehere cha kuwasaidia Wapalestina, waliitia umaskini. Same thing na Watutsi then wakawa Banyamulenge pale DRC.

Jana Ford ilikuwa kasi sana hadi woke yake inaonekana mita kadhaa nyuma
20231010_010307.jpg
 
Sasa mbona Israel wanashambulia majengo ? Au wanataka tu kkuwakomo

Mkuu Israel inacho jaribu kufanya ni kupigana vita ya kisakolojia dhidi ya raia wa Gaza yaani ana haribu makazi makusudi ili wananchi wa eneo hilo waichukie Hamas na waione ni chanzo cha matatizo yao.
 
Kufanikiwa kwa US pia ni kwa sababu Jews wengi sana wapo US na ndo matajiri wakubwa wakiwa wameshika sekta zote nyeti mfano fedha, teknolojia ya silaha, teknolojia ya habari, siasa oil & gas n.k so obvious fedha watakayopeleka Israel ni nyingi pia na ndiyo maana siyo rahisi eti ukasikia US akiilaani Israel maana US inaamini katika neno la biblia "nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani"; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa na of course matokeo ya kutekeleza mstari huu kimatendo yako wazi sanaaa kwa US ndiyo maana US ipo hapo ilipo leo kiuchumi na kiteknolojia, uimara wa kijeshi, vyuo bora vya elimu ya juu n.k.
Christian Evangelicals ndio wanaoipa support kubwa Israel ndani ya US kuliko hao Wayahudi unaowataja.

Hao Wayahudi wenye huo ushawishi ni wachache mno

 
Mission zimegonga mwamba, wajamaa wanasema hata wakiua wote won't make anything better kichapo kipo pale pale mpaka wote wageuke vifusi.
Mi nimeambiwa hapa muongo
Sa sijui nilete habari ya uongo hapa Ili inisaidie nn🤣,duh
Duh
Ndo maana nikiona hapa wanalete narudi kuangalia na kusikiliza media tofauti
 
Wanashambulia zaidi majengo yanayohifadhi silaha, nyumba za viongozi wa Hamas na miundombinu mingine tu Hamas na Islamic jihad tena baada ya kuwa na intelligence kuhusu kina nani wapo humo.

Hamas wametishia kuua mateka mashambulizi yakiendelea zaidi dhidi ya raia wao.

Mkuu nafikili wanatafuta uraisi wakianza offensive.
Iwe raisi kwao kwa urban warfare.
Kukiwa na majengo kunakuwa ni ngumu sana.
 
Hilo taifa walishalishindwa tangu 1967 wakati huo walipoitana nchi zaidi ya sita kumwangukia Israel wakatandikwa.
Unajidanganya sana bwana mdogo hitoria/nature huwa haidanganyi hata siku moja. KAMA HAKUNA HAKI, BASI AMANI HAIWEZI KUPATIKANA

ISRAEL ANAJICHOSHA TU, KAMA HATAKI KUISHI KWA HAKI NA PALESTINE BASI MWISHO WA MCHEZO ATAKUJA SHINDWA TU HAMTAKI AU MNATAKA HUO NDIO UKWELI NA HISTORY HAIDANGANYI NO MATER WHAT LONGER WILII TAKE.
 
Mi nimeambiwa hapa muongo
Sa sijui nilete habari ya uongo hapa Ili inisaidie nn🤣,duh
Duh
Ndo maana nikiona hapa wanalete narudi kuangalia na kusikiliza media tofauti
Don't mind, moto wanaopelekewa Hamas pale Gaza lazima uwachanganye akili wapalestina wa buza. Hawa watu wakiua wenzao wanasema Allah Akbar, wakiuliwa hawataji hilo jina kabisa 😀😁. Na wabarikiwe wana wa Israeli.
 
Tuseme tu ukweli Israeli haiweza kupambana vita na Iran maana kwenye huu mgogoro Israeli imeonesha udhaifu mkubwa
Sina uhakika kama Iran ianweza ingia na vita na Israel.
Maana kuna USA na NATO wanamvizia sana.
Na kwa sasa awe makini maana akiingia vita na mtu nina uhakika PUTIN hataenda kule maana ana ishu ya ukraine.
 
Back
Top Bottom