Sio kwamba hiyo Ford inaenda kuisaidia Israel kuzuia silaha kuingia Gaza ?...
Usishangae wakashiriki kwenye kusaidia offensive dhidi ya Gaza kama itafanywa maana raia wao baadhi wametekwa na wengine wameuawa.
isitoshe Biden anajaribu kujijenga kisiasa maana ana uchaguzi mbeleni na republic wanamtupia lawama kwa hili tukio........hivyo atafanya hayo kuiridhisha Israel na wapiga kura wake
... isitoshe Israel imeshapewa baadhi ya silaha na ammunition kutoka US kwa ajili ya uvamizi wa Gaza.
The country's urgent requests will test America’s industrial base — and Congress.
www.google.com
Marekani ina makubaliano na Israel kuongezewa ammo stockpile ikiwa vitani. Makubaliano hayo pia wanayo South Korea na nahisi hata Taiwan wanayo.
US imeongeza stocks kidogo labda za small diameter bombs maaa zinatumika sana, Hellfire missiles nimeona wanazitumia sana kwenye Apache helicopter gunships, na mabomu mengine kama GBU na watahitaji kuongeza bunker busters ndogo kubomoa maandaki ya Hamas na hasa Hezbollah ikiingia rasmi.
Hezbollah ina uwezo wa anti ship warfare na strategy ya Iran inajulikana siku zote ni kuzuia kupita kwa meli kwenye strait ya Hormuz na ghuba ya Uajemi na bahari ya Mediterranean nzima. So, Ford inaenda kuweka ulinzi wa strait kulinda shipping lines za kwenda Ulaya na Marekani hasa kulinda tankers. Ikitokea Hezbollah wanaingia hesabu kuona Royal Navy nayo inatia mguu hayo maeneo.
Sioni dalili za Iran kuingia moja kwa moja, hilo ndio lingelazimisha Ford battle group ifanye engagement dhidi ya Iran. Pale ukingo wa baharini Iran ina underground military infrastructure zenye missiles na fighter jets kuzuia meli zisipite ili kutia pressure uchumi wa dunia na kulazimisha negotiations.
USN inaweza isifanye kitu labda reconn na missiles strikes chache za hapa na pale hasa Tomahawk kuna chances kubwa zitumike. Ila kwamba kutakuwepo sorties nyingi na ubize mkubwa sidhani.
Hezbollah ina nguvu sababu haifuatwi kwao kuogopa lawama. Hamas imefuatwa kwao, Hezbollah wana thousands of missiles na ziko powerful wakianza wataleta madhara zaidi ila watafuatwa kwao bila hata resolution ya UN. Watakuwa na some weeks of wrecking havoc baada ya hapo wataanza kupost picha za baba amebeba kichanga kimekatika mguu mmoja kiko kwenye sanda nyeupe.
Iran haina mpaka na Israel inabidi ipite Syria then Lebanon ndio iingie Israel Kusini. Au ipite Iraq. Israel imesema Iran ikitumia Syria basi serikali ya Syria inashambuliwa, Assad atafute andaki mapema. Iraq sio rahisi sana ila kuna makundi wa Washia maelfu ya wapiganaji wanaumiza kichwa serikali, walewale ambao Qasem Soleimani alikuwa anatembelea alipouwawa na drone ya Marekani. Hao ndio wanaweza tumiwa na Iran.
Marekani iko kutia pressure kupunguza possibility hizo.
Jordan iliacha kiherehere cha kuwasaidia Wapalestina, waliitia umaskini. Same thing na Watutsi then wakawa Banyamulenge pale DRC.
Jana Ford ilikuwa kasi sana hadi woke yake inaonekana mita kadhaa nyuma