LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Tunachukua Gaza yote, na al-aqsa pale tunajenga hekalu la Suleman budget yake ipo tayari wajamaa walishaichanga siku mingi. Long live Israel
AGITATOR.
Hivi wapalestina waliwakosea nini wayahudi mpaka wawafanye wakimbizi/watumwa ndani ya nchi yao.
Hakika ukinijibu vizuri nitakurushia voucher ya elfu tano.
 
Umenikumbusha yalitokea Syria ambapo UNESCO world heritage sites ziliharibiwa karibu zote IS, kundi ka waasi waliokuwa wakifadhiliwa na Marekani.
 
Nilitegemea kupata update kuhusu kinachoendelea huko battle field kwenye huu Uzi.., lakini badala yake nakutana na mipasho ya kidini na mipasho isiyo na muelekeo!

Kweli waafrika aliyeturoga kafa!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama unategemea kupata updates ambazo ni objective humu unapoteza muda. Asilimia kubwa ya waleta taarifa wanaleta zile ambazo zinawapendeza wao binafsi, haijalishi ni za kweli ama za uongo.
 
Kufanikiwa kwa US pia ni kwa sababu Jews wengi sana wapo US na ndo matajiri wakubwa wakiwa wameshika sekta zote nyeti mfano fedha, teknolojia ya silaha, teknolojia ya habari, siasa oil & gas n.k so obvious fedha watakayopeleka Israel ni nyingi pia na ndiyo maana siyo rahisi eti ukasikia US akiilaani Israel maana US inaamini katika neno la biblia "nami nitawabariki wakubarikio, naye akulaaniye nitamlaani"; na katika wewe jamaa zote za dunia watabarikiwa na of course matokeo ya kutekeleza mstari huu kimatendo yako wazi sanaaa kwa US ndiyo maana US ipo hapo ilipo leo kiuchumi na kiteknolojia, uimara wa kijeshi, vyuo bora vya elimu ya juu n.k.
Duu jama uko brainwashed kiasi Huku basi tena hapo hakuna MTU Bali msukule wa wayahudi yatosha kusemea hongera
 
Kama unategemea kupata updates ambazo ni objective humu unapoteza muda. Asilimia kubwa ya waleta taarifa wanaleta zile ambazo zinawapendeza wao binafsi, haijalishi ni za kweli ama za uongo.
Haoanambaonhawana upande na wanaongea ukweli ni wachache
Wengine Wana upande lkn wanaongea ukweli
Ila wengine ndo hivyo
Cha msingi aende utube tu huko na afuatilie habari media tofauti
 
AGITATOR.
Hivi wapalestina waliwakosea nini wayahudi mpaka wawafanye wakimbizi/watumwa ndani ya nchi yao.
Hakika ukinijibu vizuri nitakurushia voucher ya elfu tano.
Survival of the fittest. The law of the jungle. And, in this postmodern world, make it appear as humane and as innocent as possible.
 
Kama unategemea kupata updates ambazo ni objective humu unapoteza muda. Asilimia kubwa ya waleta taarifa wanaleta zile ambazo zinawapendeza wao binafsi, haijalishi ni za kweli ama za uongo.
Mkuu, ukipata muda Gaza kukitulia nenda utembelee ujionee kamji kadogo.

Ni kama vile Kigamboni lakini Ukanda wa Gaza watumia lisaa tu kusafiri barabara kuu yaitwa Sharia Salah Al DIn kutoka Erez hadi Rafah kupitia barabara ingine kubwa ya Tariq Salah Al Din ambako pana daraja la kuvuka kwenda Misri na pana kambi kubwa ya wakimbizi ya Rafah ambayo ni ya pili baada ya ile ya Deir Al Balah.

Uwanja wa ndege wa Gaza waitwa Yasser Arafat na ndege nyingi tu zatua pale ingawa jeshi la anga la Israeli limeweka vikwazo vya hapa na pale.

Mungu akijaalia ntarudi kutembelea Gaza na ntatoa feedback nzuri tu, tuombe uzima.
 
Vita haina macho!!!

Ikiwa zinatolewa roho za watu zisizoweza kurudishwa kwanini jengo linaloweza kujengwa upya nalo lisikumbane na maafa?
 
Mchana wa leo, Israeli imeripotiwa kulipua kanisa la Kikristo la Mtakatifu Porphyrius lililopo kwenye Mji wa Gaza. Kanisa hilo la Mtakatifu Porphyrius, linatajwa kuwa ni kanisa kongwe na kubwa zaidi katika ukanda nzima wa Gaza ambalo linaendelea kutoa huduma ya kiroho mpaka sasa.Kanisa hilo linapatikana katika Kota za Mtaa wa Zaytun zilizopo kwenye Mji Mkongwe wa Gaza.Hapo awali, kanisa hilo lilipewa jina la askofu wa wa kwanza wa karne ya tano (5) wa ukanda huo wa Gaza (Mtakatifu Porphyrius) ambaye kaburi lake limejengwa kwenye kona ya kaskazini-mashariki mwa kanisa hilo.
Kama hamas walikuwa wamejificha humo ulitaka wabembelezwe watoke wauwae msikiti ubakie ? Piga makima hao kuanzia gaza lebanon mpaka qatar kwa wafadhili wao
 
Egypt baada ya vita ya Yom Kipur waliingia mkataba na Egypt wa amani na Israel chini ya usimamizi wa Marekani. Mkataba uliosababisha mpaka rais wao Anwar Sadat akauwawa na Muslim Brotherhood. Egypt hawawezi kuingilia vita Palestina hata siku moja, mkataba unawabana.
Ukianzia hapo hapo pa kuuwawa kwa Sadat, ukaitazama Jordan, ukaenda Syria, ukaenda Iraq na ukamalizia na Lebanon utajua ndio maana hakuna Mwarabu anataka tena kiherehere na Wapalestina. Cheza na miaka ileile ya 1970s to 1990s mwanzoni.

Hapo Marekani itoe kwanza, hiyo case ya kuogopa Marekani na makubaliano ni ya Egypt tu sio Waarabu wengine.
 
Korea Kaskazini ina uwezo wa kurusha kombora la Nyuklia na likatua Marekani na kusababisha maafa makubwa.

Vilevile Marekani nao wana uwezo wa kurusha makombora kadhaa ya Nyuklia ambayo yataifuta Korea Kaskazini kwenye uso wa Dunia.

Ndo maana hadi leo Marekani na Korea Kaskazini waheshimiana.

Nchi yoyote yenye uwezo wa kuwa na silaha za Nyuklia ni ya kuogopwa na ni Iran tu ndo haujulikani imefikia wapi lakini yaaminika kuwa tayari imefikisha kiwango cha makali ya bomu lake.

Ndo maana nikasema Israeli hawawezi kupigana na Iran peke yao bila msaada wa mataifa ya magharibi na Marekani.
Wataalamu wanasema silaha za nyuklia ni kwa kwa ajili ya kujilinda na sio kuulia watu kwahiyo ukiwa hakuna chokochoko utakayoletewa
 
Naomba kujua wakati wapalestina wanafurushwa kwenye nchi yao kiongozi mkuu alikuwa nani? Je walikuwa hawana jeshi? Waisraeli waliivamia Palestine kutokea wapi?
AGITATOR.
Hivi wapalestina waliwakosea nini wayahudi mpaka wawafanye wakimbizi/watumwa ndani ya nchi yao.
Hakika ukinijibu vizuri nitakurushia voucher ya elfu tano.
 
Hakika biashara ya silaha na madawa ni moja ya biashara zinazolipa sana duniani.
 
ISRAEL KULIPUA GARI YOYOTE ITAKAYOPELEKA MSAADA WA KIBINADAMU Gaza. MISRI IMESEMA ITAPELEKA HIVYOHIVYO.
F8E-z8kXEAABsLO.jpeg

Msafara wa magari kutoka misri yenye msaada wa kibinadamu kuelekea Gaza
 
Back
Top Bottom