LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Ina maana kwa hatua hiyo ameruhusu Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi.

Wapalestina hawana mtetezi maana Arab league waliotakiwa kuwasemea wameshakuwa 'compromised' kitambo........labda angalau jumuiya ya kiislamu (OIC) yenye Uturuki, Iran, Pakistan, Indonesia ndio wanaweza kuwa sauti ya Wapalestina.
mkuu hii comment yako ni kama unataka kujustify kile alichokifanya hamas
 
Ina maana kwa hatua hiyo ameruhusu Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi.

Wapalestina hawana mtetezi maana Arab league waliotakiwa kuwasemea wameshakuwa 'compromised' kitambo........labda angalau jumuiya ya kiislamu (OIC) yenye Uturuki, Iran, Pakistan, Indonesia ndio wanaweza kuwa sauti ya Wapalestina.

Israel havamii anachofanya ni counter attack hawa jamaa ni kama wanapokezani leo hamas mchana wamepiga sana makombora kwenda israel mengi yamekua intercepted
 
Ina maana kwa hatua hiyo ameruhusu Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi.

Wapalestina hawana mtetezi maana Arab league waliotakiwa kuwasemea wameshakuwa 'compromised' kitambo........labda angalau jumuiya ya kiislamu (OIC) yenye Uturuki, Iran, Pakistan, Indonesia ndio wanaweza kuwa sauti ya Wapalestina.

Acheni kulialia mwana kulifind mwana kuliget.
 
Ndo hao hamas wafia dini.
Ni kukosa mbinu tuu za kumzidi adui, wanatumia tactics za mauaji ys raia.
Afu utakuta mtu yupo humu anasema Israel inauwa watoto na wamama.
Ndiyo Israel imewaua maelfu ya watoto,wamama na watu wengine wapalestina.hiyo ni madhara ya chuki waliojenga wenyewe kwa mikono yao.
 
Defense Minister Yoav Gallant to troops on the Gaza border: "I have released all the restraints, we have [regained] control of the area, and we are moving to a full offense. Hamas wanted a change in Gaza, it will change 180 degrees from what it thought. They will regret this moment, Gaza will never return to what it was."
 
Attachments

  • 20231010_193340.jpg
    20231010_193340.jpg
    258.4 KB · Views: 3
Back
Top Bottom