Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Ndo maana nimekwambia mwanzo upo sahihi kabisa!! Agano la Mungu lipo kwa Isaka na katika kizazi Cha Isaka ndo manabii, Mitume pamoja na Yesu ndo alitokea hapo sabab ya Agano ambalo Mungu aliapa kwa Isaka.sijakataa kuwa Ishmael hakubarikiwa alibarikiwa ndiyo lakini nje ya agano na ukitaka kujua ubora wa baraka za agano angalia katika Ishmael ni aina gani ya roho, dini, watu, imani vimepita then angalia aina gani ya roho, dini, watu, imani vimepita kwa kupitia Isaka ni dhahiri shair kuna upande wa Mungu na upande wa shetani, Mungu kapitisha vya kwake kwa Isaka maana ndipo agano lake lilipo na vya shetani vingi mno vimepita kwa Ishmael.
Anyway kama utakuwa ni mfuatiliaji wa mafundisho na maarifa ya Mungu wa biblia utakuwa unaelewa maana yake nini ninaposema baraka za agano na baraka za nje ya agano. Issue ya agano kibliblia si mchezo ndiyo maana kuna agano jipya na la zamani kuonyesha seriousness ya jambo hili.
Upo sahihi Mkuu hata Biblia imeandika.
Hapa
Mwanzo 17 : 19 - Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.
Kwaiyo Upo sahihi kabisa