LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Tunachukua Gaza yote, na al-aqsa pale tunajenga hekalu la Suleman budget yake ipo tayari wajamaa walishaichanga siku mingi. Long live Israel
AGITATOR.
Hivi wapalestina waliwakosea nini wayahudi mpaka wawafanye wakimbizi/watumwa ndani ya nchi yao.
Hakika ukinijibu vizuri nitakurushia voucher ya elfu tano.
 
Umenikumbusha yalitokea Syria ambapo UNESCO world heritage sites ziliharibiwa karibu zote IS, kundi ka waasi waliokuwa wakifadhiliwa na Marekani.
 
Kama unategemea kupata updates ambazo ni objective humu unapoteza muda. Asilimia kubwa ya waleta taarifa wanaleta zile ambazo zinawapendeza wao binafsi, haijalishi ni za kweli ama za uongo.
 
Duu jama uko brainwashed kiasi Huku basi tena hapo hakuna MTU Bali msukule wa wayahudi yatosha kusemea hongera
 
Kama unategemea kupata updates ambazo ni objective humu unapoteza muda. Asilimia kubwa ya waleta taarifa wanaleta zile ambazo zinawapendeza wao binafsi, haijalishi ni za kweli ama za uongo.
Umeona mkuu.
Humu hakuna mtu anayeleta
taarifa sahihi
 
Kama unategemea kupata updates ambazo ni objective humu unapoteza muda. Asilimia kubwa ya waleta taarifa wanaleta zile ambazo zinawapendeza wao binafsi, haijalishi ni za kweli ama za uongo.
Haoanambaonhawana upande na wanaongea ukweli ni wachache
Wengine Wana upande lkn wanaongea ukweli
Ila wengine ndo hivyo
Cha msingi aende utube tu huko na afuatilie habari media tofauti
 
AGITATOR.
Hivi wapalestina waliwakosea nini wayahudi mpaka wawafanye wakimbizi/watumwa ndani ya nchi yao.
Hakika ukinijibu vizuri nitakurushia voucher ya elfu tano.
Survival of the fittest. The law of the jungle. And, in this postmodern world, make it appear as humane and as innocent as possible.
 
Kama unategemea kupata updates ambazo ni objective humu unapoteza muda. Asilimia kubwa ya waleta taarifa wanaleta zile ambazo zinawapendeza wao binafsi, haijalishi ni za kweli ama za uongo.
Mkuu, ukipata muda Gaza kukitulia nenda utembelee ujionee kamji kadogo.

Ni kama vile Kigamboni lakini Ukanda wa Gaza watumia lisaa tu kusafiri barabara kuu yaitwa Sharia Salah Al DIn kutoka Erez hadi Rafah kupitia barabara ingine kubwa ya Tariq Salah Al Din ambako pana daraja la kuvuka kwenda Misri na pana kambi kubwa ya wakimbizi ya Rafah ambayo ni ya pili baada ya ile ya Deir Al Balah.

Uwanja wa ndege wa Gaza waitwa Yasser Arafat na ndege nyingi tu zatua pale ingawa jeshi la anga la Israeli limeweka vikwazo vya hapa na pale.

Mungu akijaalia ntarudi kutembelea Gaza na ntatoa feedback nzuri tu, tuombe uzima.
 
Vita haina macho!!!

Ikiwa zinatolewa roho za watu zisizoweza kurudishwa kwanini jengo linaloweza kujengwa upya nalo lisikumbane na maafa?
 
Kama hamas walikuwa wamejificha humo ulitaka wabembelezwe watoke wauwae msikiti ubakie ? Piga makima hao kuanzia gaza lebanon mpaka qatar kwa wafadhili wao
 
Ukianzia hapo hapo pa kuuwawa kwa Sadat, ukaitazama Jordan, ukaenda Syria, ukaenda Iraq na ukamalizia na Lebanon utajua ndio maana hakuna Mwarabu anataka tena kiherehere na Wapalestina. Cheza na miaka ileile ya 1970s to 1990s mwanzoni.

Hapo Marekani itoe kwanza, hiyo case ya kuogopa Marekani na makubaliano ni ya Egypt tu sio Waarabu wengine.
 
Wataalamu wanasema silaha za nyuklia ni kwa kwa ajili ya kujilinda na sio kuulia watu kwahiyo ukiwa hakuna chokochoko utakayoletewa
 
Naomba kujua wakati wapalestina wanafurushwa kwenye nchi yao kiongozi mkuu alikuwa nani? Je walikuwa hawana jeshi? Waisraeli waliivamia Palestine kutokea wapi?
AGITATOR.
Hivi wapalestina waliwakosea nini wayahudi mpaka wawafanye wakimbizi/watumwa ndani ya nchi yao.
Hakika ukinijibu vizuri nitakurushia voucher ya elfu tano.
 
Hakika biashara ya silaha na madawa ni moja ya biashara zinazolipa sana duniani.
 
ISRAEL KULIPUA GARI YOYOTE ITAKAYOPELEKA MSAADA WA KIBINADAMU Gaza. MISRI IMESEMA ITAPELEKA HIVYOHIVYO.

Msafara wa magari kutoka misri yenye msaada wa kibinadamu kuelekea Gaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…