hiyo 25% iliyobaki imesaidia kipi kwa jews.tena hapo mnapata msaada wa US, kwa kikundi kidogo cha watu wenye machine gun.je wangekuwa na vifaru+ jet fightersBahati mbaya hiyo asilimia yoote haiwasaidii hao palestines kipondo wanaendelea kukipata
We nazani unataka kusema mwafrika hakuna kitu kitakachomuokoa zaidi ya kuabudu mawe na miti na kuvaa magome ya mitiHakika Waafrika wamefanywa kuwa vipofu na watumwa wa fikra. Hakuna kitakachoweza kumuuokoa Muafrika dhidi ya utumwa alionao.
Na wamasai wadai ardhi yao kule ngororongoroNi wakati muafaka pia China kuivamia Taiwan.
We are israel we don care,and God even don care tunafuta kila kitu gaza.Watoto, Wazee, Wagonjwa na Walemavu NDIO wanaoumia
Sasa hivi mmewapa sababu za kuichukua Gaza kizembe kabisaIsrael kuuwa wapalestine sio jambo geni tena wanauwa mpk wanafunzi wa primary hao watu hata hamas wakiwa wametulia wao wanauwa tu mwaka mzima
Hi sio wajibu wngu niache kupambana na maendeleo yngu niende kusaidia watu wanao jiweza.
If you're here, give it a read.πππ πππππππ ππ ππππππ-πππππππππ ππππ ππππ ππππ ππ πππ ππππ ππππ πππ!
14 May 1948 : British Mandate Palestine (Under British Control) was divided between Israel and Arabs.
15th May 1948 : Egypt, Transjordan, Syria, and expeditionary forces from Iraq entered Palestine. The invading forces took control of the Arab areas and immediately attacked Israeli forces and several Jewish settlements
But after 9 months of war, Israel ended winning the war against Arabs and regained the UN Proposed Jewish State and took over 60% of the Arab State as well.
5th June 1967 (6 Days war) : 6 Arab Nations closed Straits of Tiran and was ready to destroy Israel. But again the Israel Intel was too strong and they launched a series of preemptive airstrikes against the collation of Arab countries. Again after the end of the war, Israel captured Golan Heights, Gaza and West Bank.
The war ended in 6 days.
1993 OSLO Peace Accords : Israel and Palestine tried to settle the dispute with the help of the US. But could not reach the solution. Israel was ready to accept the 2 state solution. But peace process failed.
2005 : Unilateral withdrawal of Israeli forces and civilians from Gaza
The unilateral disengagement process began in August of 2005 and by September, around 9,000 Jews living in 25 settlements were evicted and the Israeli troops completely withdrew from the Gaza Strip to the Green Line, a 1949 Armistice Line drawing boundaries between Israel and its Arab neighbours.
2006 : A year after Israel withdrawal, Palestine voters elected Hamas (Terrorist Organisation) to rule Gaza.
This led to a brief Civil War within Palestine. Now Hamas had the control of Gaza and Fatah was governing the West Bank.
Since 2006, The Hamas have used terrorism as their state policy.
So if you go through the whole history, you will find its was the Arab world which started the war everytime but ended up loosing territory to Israel. Even after 2005 Peace process, the Gaza voters choose a terrorist organisation to rule them.
Hamas Ideology;
The group calls for establishment of an Islamic Palestinian state that would replace the current state of Israel and believes in the use of violence to carry out the destruction of Israel.
THE END!
kwa hyo hamas kuwachinja waisrael ndo suluhisho? na kwa nn huwalaumu hamas kwa unyama wao unaishia tu kusema mwendelezo wa mzozo, hilo taifa huru anayetakiwa kuliunda ni nani? wapalestina wanatakiwa waondoke hapo sio kwao.Angalia pande mbili za shilling..... Wapalestina wameishi kwa miaka takriban 56 sasa chini ya udhibiti wa Israel (occupation).........huu mgogoro upo toka kitambo na hili liliofanywa na Hamas ni mwendelezo tuu wa huu mzozo.
Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi haiwezi kuwa suluhisho la kudumu la mzozo huu maana hapo awali Israel ilishaikalia Gaza kijeshi kwa miaka 40 toka mwaka 1967 kabla ya kujiondoa mwaka 2005.
Suluhisho la kudumu ni kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina lenye mipaka yake halali.
mzozo upo hakuna asiyejua, ila ndo unataka waisrael wachinjwe kama kuku halafu wakae kimya tu? wakichinjwa mnashangilia na kejeli za kvtosha, wakijibu mashambulizi mnaanza kulialia na kutafuta kuonewa huruma.Angalia pande mbili za shilling..... Wapalestina wameishi kwa miaka takriban 56 sasa chini ya udhibiti wa Israel (occupation).........huu mgogoro upo toka kitambo na hili liliofanywa na Hamas ni mwendelezo tuu wa huu mzozo.
Israel kuivamia na kuikalia Gaza kijeshi haiwezi kuwa suluhisho la kudumu la mzozo huu maana hapo awali Israel ilishaikalia Gaza kijeshi kwa miaka 40 toka mwaka 1967 kabla ya kujiondoa mwaka 2005.
Suluhisho la kudumu ni kuundwa kwa taifa huru la Wapalestina lenye mipaka yake halali.
Another journalist who reported this incident.Tuwe makini na hizi news isije ikwa kama zile za Iddi Amin dada anakula nyama za watu