Hapo kwenye nchi mmoja huenda ikawa solution nzuri ya kudumu maana ardhi yao Wapalestina imeshamegwa mno hawana eneo tena liliobakia la kuundia taifa jipya.Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
Hawajawahi kutoa official statement za kuunga mkono mashambulizi ya HAMAS.Mkuu ile j mosi wakati mashambulizi yanaanza wote hao walikuwa wanalalamika uhuru wa palestina wamekuja kugeuka baada ya wapalestina kuanza kusema kutawachinja mateka.
Na video kuanza kuliku wakifanya ubakaji na kuuwa watoto.
Hapo ndo mataifa mengi wakageuka.
Kabaki Iran tuu
Naunga mkono,kama kina Mama wataendelea kuwaficha HAMAS huku wakiwatanguliza watoto wao mbele maana yake wako tayari watoto wafe ili HAMAS wapone.Kichapo na kiendelee,akili zikiwakaa sawa wataacha huu ujinga wa kuwaficha
Mbona huku yasema haya kipindi Ukraine imewaficha magaidi wa kinazi badala yake ilikuwa ni malalamiko kila siku ya Urusi inashambulia raia?Naunga mkono,kama kina Mama wataendelea kuwaficha HAMAS hukuwakiwatanguliza watoto wao mbele maana yake wako tayari watoto wafe ili HAMAS wapone.Kichapo na kiendelee,akili zikiwakaa sawa wataacha huu ujinga wa kuwaficha
Waisraeli wanataka wawapoteze kabisa Wapalestina kama wao walivyoteswa na kupotezwa hapo na Roman Empire wakawa watumwa na wengi kukimbia diaspora miaka hiyoHapo kwenye nchi mmoja huenda ikawa solution nzuri ya kudumu maana ardhi yao Wapalestina imeshamegwa mno hawana eneo tena liliobakia la kuundia taifa jipya.
Huko kutawanywa sio sawa, maana sidhani kama huko watakapoenda watawataka mfano Lebanon, Jordan tayari zina mamilioni ya wakimbizi kutoka Palestine.
Inscription inalenga nini hasa?Kwaiyo Mkuu siyo vizur kuwaza vitu kama hivi ni hatari Kwa Afya ya akili siyo? Ufafanuzi kidogo
mkuu ile sio ardhi ya wapalestina, ni ardhi ya wayahudi, ulimwengu wote unalijua hilo na wewe unajua hvo, sema watu mnajaribu kuyumbisha dish tu, watafute historia kuwa mababu zao walitoka wapi mpaka wakafika kwenye ardhi ya watu, wakishajua waende huko,Tuambie Sasa kwao ni wapi ili waende huko?...
.taifa lao linatakiwa liundwe kwa Israel kurudi kwenye mipaka yake halali kabla ya Vita ya 1967.
Makubwa tena hayaWe are israel we don care,and God even don care tunafuta kila kitu gaza.
I stand with israel
Itoshe kusema ww ni mpumbavu huna akili.mkuu ile sio ardhi ya wapalestina, ni ardhi ya wayahudi, ulimwengu wote unalijua hilo na wewe unajua hvo, sema watu mnajaribu kuyumbisha dish tu, watafute historia kuwa mababu zao walitoka wapi mpaka wakafika kwenye ardhi ya watu, wakishajua waende huko,
Israel haina uwezo wa kupigana na nchi yoyote ikiachwa yenyewe. Hilo ndio somo tulilojifunza kwenye hivi vita.Sasa kama Iran anauweza wa kupambana na Israel yeye kama yeye kuita vikao vya nchi za kiislamu kujadili inasaidia nini.
Na inaonyesha waarabu wanaiogopa Israel still.
nenda zako huko mfuasi wa wavaa kobasi, waisrael wakichinjwa wewe na bi kikagula @faizafox mnashangilia, waisrael wakijibu mashambulizi mnaanza kulialia na kutafuta huruma, hao wakoloni walikuwa wapi kuweka mipaka ya nchi ya palestina mpaka leo hii palestina haitambulika kama taifa huru? unataka tuanze kumwagiana maneno ya shombo, mziki unauweza?Itoshe kusema ww ni mpumbavu huna akili.
Hivi dunia hii tukisema kila jamii irudi kwenye chimbuko la asili yake dunia hii itakalika?
Basi wazungu wote waondoke bara la America na warudi Ulaya maana ndio chimbuko la asili yao ,America sio kwao.
Ww hapo ulipo una uhakika gani kuwa ndio chimbuko la jamii yako?