Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Hapo kwenye nchi mmoja huenda ikawa solution nzuri ya kudumu maana ardhi yao Wapalestina imeshamegwa mno hawana eneo tena liliobakia la kuundia taifa jipya.Solution ni mbili either waungane wawe nchi moja au wapalestina watawanywe kwenye nchi mbalimbali za kiarabu wakaanze upya maisha.
Yaani nchi ya Palestine isiwepo.
Huko kutawanywa sio sawa, maana sidhani kama huko watakapoenda watawataka mfano Lebanon, Jordan tayari zina mamilioni ya wakimbizi kutoka Palestine.