LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Residents of Palestine took to the streets to celebrate the start of Hamas' operation against Israel.

The shelling of the Gaza Strip and Israel continues, the number of dead and wounded on both sides is growing.

About 1,500 people were injured in the Gaza Strip due to Israeli strikes, TV reported citing the Palestinian Red Crescent.
Your browser is not able to display this video.
 
Press coverage: A mass escape of #settlers after resistance fighters approached the place where they were holding a party in the #Gaza Strip corridor.
Your browser is not able to display this video.
 
Wananchi "Watanzania bado wana uoga, wasiwasi na hawana hakika kama maamuzi yaliyofanywa na serikali ni kwa faida ya nchi yao"
Watanzania wanasema '....hatujardhika na mkataba wa Bandari baina ya Serikali na DPW...'

Si ajabu, kila wakati karibia na chaguzi kule Marekani, tunaanza kuona vurugu ukanda wa mashariki ya kati. Vurugu hizo huwa zinaleta majanga, lakini huwa zinawafanya wahanga hao kuwa na mshikamano, haswa ukizingatia jinsi mataifa husika, yamo kwenye mipasuko ya kisiasa.

Hatahivyo, ni vizuri tuka kumbushana, suala la Bandari limetugawa Watanzania, na kusababisha mipasuko ya kisiasa. Vilevile, tukumbushane kwamba, Wana wa Israeli na Wana wa Palestina huwa wanakuwa na mshikamano, wakati wa majanga katika maeneo yao.

Ugawiaji wa Bandari ni janga kwa Taifa letu.

Tunapaswa kuwa na mshikamano thabiti kukabiliana na adui wetu mmoja. Wale wote wanaotaka kutugawa ili kufikia malengo yao. Ukoloni mamboleo.

Amani itawale ulimwengu.
 
Natumai mliokua mnashabikia ugaidi wa HAMAS kisa mahaba kwa muarabu hamtaanza kulia kwamba mnaonewa, haya majibu yameanza, ukitizama hii video yaani mabomu kwa kwenda mbele, watu wanakimbia na mikanzu huku wakilipuliwa na kuwahishwa kule kwa thawabu....

==========================
IDF says it struck 17 military compounds and four headquarters belonging to Hamas in the Gaza Strip, among other targets.
Your browser is not able to display this video.
 
Hawa Hamas leaders and group watafutwa wote watakuwa majivu soon, within 3 to 4 days,
najua hamuelewi, sasa subirini, kuna more than 100 IDF commandos wameingia southern Israel wanaenda kuangamiza Hamas
Kuna makubaliano ya kutomuua Ismail Haniyeh labda wakiamua kutoyazingatia.
Kiuhalisia baadhi ya viongozi wa Hamas ni kama hostages wanafuata kile wengi wanataka ila madhara wanayajua. Mwaka jana Hezbollah ilivyorusha maroketi ikawataka Hamas waungane Haniyeh na wenzake wakagoma hawakuwa wamejipanga.

Ukishamuua Haniyeh hao Hamas wanakosa kiongozi hata control inakosa, vijana wake wataanza kukaa hospitali na sokoni ndio wanafanyia mashambulizi kutoka kule. Ukimuua jipange kuua raia wengi zaidi
 
Lakini kuna imani inakufanya nyumbu sana
 
We ota tu kama Israel atashinda hii vita au kuchukua aradhi ya wa Palestine
 
Mmmmh Time to play the victim card

BREAKING: Al-Arabiya reports that the Palestinian health ministry says 161 people have been killed in Israeli strikes on Gaza
 
Aliuliwa Ahmad Yassin yule kiongozi wao kipofu na Hamas ikaendelea atakua huyo Ismael Haniya ndg
 
Leo nipo against Israel, acha wachapike vyema. Kwenye social platforms zao tulikua tunawaonya kuwa huu ututusa wanaouendekeza wa kudhani wapo imara sana na kujisahau hadi kuanza kujishughulisha na vimambo vya kero kabisa vitakuja kuwagharimu.
Sasa yamewatokea, ngoja wanyooshwe ili wajue kusimama imara. Haya mambo yalikua na dalili zote lakini wanasiasa wakayapuuza.
Wakajisahau hadi wakawapa nguvu waarabu na kujiunga katika kuunda serikali na hata matamshi na msimamo ukawa na ukakasi.
Yule waziri mkuu alikua anataka kuridhisha majukwaa ya kimataifa na akasukwasukwa na Biden akalainika.
 
Sasa kambi yenye vifaru zaidi ya 30 inavamiwa kizembe IDF walikuwa wapi?

Hii kitu sijaielewa, Ngoja tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…