LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na HAMAS

Live coverage on JamiiForums
Mateka tu yule hajauliwa.

Wayahudi wote ni wanajeshi, usione mwanamke ukadharau.

Hata Tanzania JKT ni mfumo wa Kiyahudi kabla nyerere hajawatimua.
Ule mfumo wa Israel wakati tuna uhusiano kabla ya Nyerere hajauvunja wote ni maaskari
 
Oneni hapa yanavyojazana maujinga, huu ujumbe umetumwa kwenye group moja la kazini na mm nikawajibu humo humo kwamba "Israel haijakusanya wanajeshi 100000 Bali 360000 kwahiyo mjiandae kisaikolojia"

Yanabaki ku comment tu astakafirulai!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Attachments

  • IMG-20231011-WA0001.jpg
    65.9 KB · Views: 2
Israel inapigana na hamas na sio palestina nyie ndio wapotoshaji wakuu. Mnaingiza mkenge wajinga wengi wasiojua kutofautisha hamas na palestina.
kWani Hamas sio wapalestina? Hamas ni kikundi cha waharakati cha wapalestina. Japo Israel na Marekani wanawatambua kama kikundi cha kigaidi lakini ndio wamepewa dhamana ya kuoongoza na wapalestina. Hii ni baada ya kuona PLO ya mzee Arafat inaomba haki za wapalestina baala ya kudai. Kwa hiyo hakuna HAMAS bila Palestina.
 
Hamas wamewadhulumu Wapalestina na ndio maana watu waliandamana waliposhinda.
 
Ukishakuwa mfuasi wa munyaazi mungu tu bas unaanza kuwa trained mapema kuwa na roho ya kikatili maana unaanza kumezeshwa chuki dhidi ya watu wa Imani nyingine mfano Alshabaab, Boko Haram, ISIS, Zanzibar nk
Ma huu ndo ukweli watu wengi wnajifanya hawauoni!
 
Aiseeee 🀣🀣🀣
 
Hamna kitu apo. Wanajitokeza kwa wingi kwasababu wanajua wana jeshi bora na wanakwenda kupigana na mgambo ambao hawafiki hta 50,000
 
Nimecheka
 
Haya tupe sasa na hali ya Wanamgambo wa HAMAS na Gaza kwa ujumla wake pia.
 
Hamna kitu apo. Wanajitokeza kwa wingi kwasababu wanajua wana jeshi bora na wanakwenda kupigana na mgambo ambao hawafiki hta 50,000
Mkuu 50,000 wote hao ? Hamas kama ina wapiganaji wengi sihani kama watakuwa wana vuka 20,000.
 
Israel kuagiza zana toka china upo sawa kweli..? Israel ni mshirika wa US ataagizaje china..?
 
Ngoma bado mbichi Gaza.

Hakuna Maji, Umeme, Mafuta ama msaada wa kibadamu wowote hadi muwaachie mateka wetu wote - Waziri.


  • Israeli minister says no electricity, fuel or humanitarian aid into Gaza until Hamas releases all captives.
  • Israel continued to pummel Gaza with air raids, killing dozens of people, including nine children in the city of Khan Younis.
 
Ukishakuwa mfuasi wa munyaazi mungu tu bas unaanza kuwa trained mapema kuwa na roho ya kikatili maana unaanza kumezeshwa chuki dhidi ya watu wa Imani nyingine mfano Alshabaab, Boko Haram, ISIS, Zanzibar nk
Sema na ww unazngua Dp yako ya mwana mnyaazi mungu ozil toa mkuu
 
I stand with innocents everywhere in the world. Maybe ulikuwa hujanielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…