Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Gaza mtoto akizaliwa wa Kiume tayar anakuwa ni member wa Hamas na akifikisha miaka 18 ndio anajiunga rasmi ktk oparesheni zao.Mkuu 50,000 wote hao ? Hamas kama ina wapiganaji wengi sihani kama watakuwa wana vuka 20,000.
Aisee! Hii dunia ina mambo!!!Israeli backed by US.
VIta imeanza wakati israel ndio walikua wanasalimia waanze kazi rasmiView attachment 2779707Israel kapatikana lol; siku 5 na watu 1300 kufa na wapalestina 1200 around the same figure. Walishazoea kuua wenzao maelfu wao 5 au 10 wamekufa na kujeruhiwa, vita imeisha lakini sasa cha mtee makuni wanakiona mwe.
Ozil alikuwa mchezaji wa mpira mkuu na sio member wa Hamas, Nina Wana wengi tu wafuasi wa munyaazi mungu ila ndio hivyo naishi nao kwa akili.Sema na ww unazngua Dp yako ya mwana mnyaazi mungu ozil toa mkuu
ni kweli usemayo, mtoto wa kuime anaanza kujazwa ujinga wa kuwachukia Islael kuliko chochote Duniani tangu akiwa umri mdogo, cha kufanya kwa Islael ni kusambaratisha kabisa utawala wa Gaza ambao upo mikononi wa HAMAS.Gaza mtoto akizaliwa wa Kiume tayar anakuwa ni member wa Hamas na akifikisha miaka 18 ndio anajiunga rasmi ktk oparesheni zao.
Na inasemekana mzazi akijifungua mtoto wa Kiume inakuwa sherehe kubwa kuliko wa kike maana wanajua ni new Hamas in town na anaanza kumezeshwa matango pori na chuki dhidi ya Israel on the spot.
Kama ni mfuatiliaji mzuri shule nyingi za nursery Gaza dressing code yao ni mavazi ya kijeshi, bunduki za plastic(sawa na fagio la shule kwa huku kwetu) kama huna hivyo vitu unarudishwa kwenu
Hakuna waislamu wataingilia mambo ambayo hayawahusu, kila mwislamu apambane na jambo lake. This is not a global religious crisis nyie Hamas.
Jeshi lolote linalo tegemea msaada wa njaa, kiu na magonjwa ili lishinde vita basi jua ni jeshi dhaifu na la hovyo.Ngoma bado mbichi Gaza.
Hakuna Maji, Umeme, Mafuta ama msaada wa kibadamu wowote hadi muwaachie mateka wetu wote - Waziri.
- Israeli minister says no electricity, fuel or humanitarian aid into Gaza until Hamas releases all captives.
- Israel continued to pummel Gaza with air raids, killing dozens of people, including nine children in the city of Khan Younis.
Sio kweli na sidhani kama Hamas ana silaha za kutosha kwa ajili ya kumpa ili apambane.Gaza mtoto akizaliwa wa Kiume tayar anakuwa ni member wa Hamas na akifikisha miaka 18 ndio anajiunga rasmi ktk oparesheni zao.
Na inasemekana mzazi akijifungua mtoto wa Kiume inakuwa sherehe kubwa kuliko wa kike maana wanajua ni new Hamas in town na anaanza kumezeshwa matango pori na chuki dhidi ya Israel on the spot.
Kama ni mfuatiliaji mzuri shule nyingi za nursery Gaza dressing code yao ni mavazi ya kijeshi, bunduki za plastic(sawa na fagio la shule kwa huku kwetu) kama huna hivyo vitu unarudishwa kwenu
Hapo nimekupata mkuu. Tuishi nao kwa akili hawa wana wa mnyaaziOzil alikuwa mchezaji wa mpira mkuu na sio member wa Hamas, Nina Wana wengi tu wafuasi wa munyaazi mungu ila ndio hivyo naishi nao kwa akili.
Ni kweli inabidi uishi nao kwa akili kwa sababu ndo watakuja kukuolea mabinti zako.Hapo nimekupata mkuu. Tuishi nao kwa akili hawa wana wa mnyaazi
Unaishi nao kinafiki wao wanadhani wana rafiki kumbe una chuki kubwa juu yao.Ozil alikuwa mchezaji wa mpira mkuu na sio member wa Hamas, Nina Wana wengi tu wafuasi wa munyaazi mungu ila ndio hivyo naishi nao kwa akili.
Kweli kabisaUSA kukiwa hakuna machafuko duniani watakufa njaa.